komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Correction, ukienda hko leta km anavyoleta mwenzako..yani anakuletea gated communities na majina yake kabisa...Yaan unachofanya ni kama niende upanga au kariakoo hata magomeni na kuanza kupost jengo mojamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio kupiga piga picha tu, itakuwa husaidii watu wengine ambao wana mahitaji na hzo appartments
Sent using Jamii Forums mobile app