sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
😂😂😂 Ni ukweli mchungu
Halafu wakenya walikuwa wanapinga sera ya Nyerere ya kuishi kijamaa ila wanaitekeleza kwa namna nyingine. Kuishi kwenye flats kama hizi si ndio ujamaa wenyewe huo! (hizi flats ni sawa tu na community houses japo zinamilikiwa na mtu au entity moja lakini the way of living ina portrait ujamaa life) 😀 😀 😀 😀 😀Slum tunajua ni dar kila mtu anaishi kwenye kibanda....Amara parkView attachment 1417461View attachment 1417462
Sent using Jamii Forums mobile app
90 % ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye slums na cages kwa ujumla wao wanaishi kwenye maeneo ambayo hawayamiliki wao bali wamepangishaSs kwnn over 60% ya nairobians live in slums
90 % ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye slums na cages kwa ujumla wao wanaishi kwenye maeneo ambayo hawayamiliki wao bali wamepangisha
Hizi ni cages mzee halafu hata hamzimiliki, hizo ni dormitories huku Tanzania ni wanafunzi ndio huzitumiaWabongolala tunawajua kwa domo tu...Amalia apartments syokimauView attachment 1417512View attachment 1417514
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kutuchafulia Uzi na uchafu...hizi hupatikana mashamba hapa KenyaHizi ni cages mzee halafu hata hamzimiliki, hizo ni dormitories huku Tanzania ni wanafunzi ndio huzitumia
Watanzania tupo huku
Wakenya wenye uwezo wa kuishi hivi, hawapo.
View attachment 1417538View attachment 1417539View attachment 1417540View attachment 1417541View attachment 1417542
Mashamba ya jiggers?Wacha kutuchafulia Uzi na uchafu...hizi hupatikana mashamba hapa Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu zenye miti mizuri na mazingira mazuri wanaona ni kijijini sababu wameshazoea kuzungukwa na slums za mabati kila kona na cages za broilers
Leo mtatapika sana...Freedom heights langataMashamba ya jiggers?
Mjini kumejaa slums everywhere
Mashambani kumetapakaa jiggers
Tuletee hizo zenu kali kama si wivu za kischana uko nazoHivi unakisikia mwenyewe? Mimi nonevent wivu hizo apartments kama mapango wanayoishi popo?
Wabongolala wamebaki domo hawana cha kupost....kule dar kumejaa tu uswaziWabongolala tunawajua kwa domo tu...Amalia apartments syokimauView attachment 1417512View attachment 1417514
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwambia Kenya sio ldc lakini huwahasikiiWabongolala wamebaki domo hawana cha kupost....kule dar kumejaa tu uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni cages mzee halafu hata hamzimiliki, hizo ni dormitories huku Tanzania ni wanafunzi ndio huzitumia
Watanzania tupo huku
Wakenya wenye uwezo wa kuishi hivi, hawapo.
View attachment 1417538View attachment 1417539View attachment 1417540View attachment 1417541View attachment 1417542
Wewe shoga wa pwani, ndo hizi unazotaka?Wabongolala wamebaki domo hawana cha kupost....kule dar kumejaa tu uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishindane na Dar, iko mbele yenu kwenye haya mambo na ndo maana wewe na mmeo mnahitaji exposureWabongolala wamebaki domo hawana cha kupost....kule dar kumejaa tu uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL ushamba ni mzigo