Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,732
- 107,179
How do u do that while the terminal is already in operation?Ila hata hivyo phase ll ni kazi ndogo tu kuextend hizo wings na parkings kidogo,
How do u do that while the terminal is already in operation?Ila hata hivyo phase ll ni kazi ndogo tu kuextend hizo wings na parkings kidogo,
Kumbe kuna nafasi kubwa ya kupanua barabara kwenye uwanja wa TRC sikujua .nlkua najiuliza BRT itapitaje hapo the space is big kuweka hata 3*3I’m super excited to watch the Dar-Moro sgr March progress video
View attachment 1418084
Wataalam wetu hilo umbo ni nini? Jongoo,kenge,mamba au msalaba?!!!
when it will be😂😂😂😂This is how Ngara will look like some years after nowView attachment 1418114
Sent using Jamii Forums mobile app
mpanda bus stage👇👇👇
khaaaaaa hivi aliyojenga hapo ni fundi hasaaa au muhuni tu..????..ghorofa gani hilo aaah mi ningecheka hadi nifeKitu yenyewe hiyo hapo,angalia iko kiwambaza hapo juu hamna nguzo yoyote,iliyoshikia,kwa vile ni ndugu yangu nilimuelekeza namna ya kufanya hapo zikae nguzo,nyumba kama hii TZ huwezi kujenga bila kibali,soon naifuta hii post mkuu 🤣,Geza Ulole hii ndio shida niliyoiona
thats why nikakwambia ya kwamba waliungaunga lkn bado lipo vizur, tatizo lake kubwa ni kwmba walilijenga kimaskiniYani nimekushangaa sn, eti bila woga unasema hili ghorofa lipo sawa na halina shida yoyote, Dah Wakenya cjui mnakwama wapi hebu cheki bomu[emoji116][emoji116]View attachment 1417753View attachment 1417754View attachment 1417755
Mbezi Africana: Sea breeze more than 20 KM from CBDI know only 5% of dar is developed.... That's why nyinyi hushindia hizo picha za cbd pekee.At the same time it's equivalent to Kilimani in size
Sent using Jamii Forums mobile app
Sevenup!
Nani kaleta gated community???!!!...unazijua gated community wewe,unafikiri ndo hizo hostel zenu..Correction, ukienda hko leta km anavyoleta mwenzako..yani anakuletea gated communities na majina yake kabisa...
Wala sio kupiga piga picha tu, itakuwa husaidii watu wengine ambao wana mahitaji na hzo appartments
Sent using Jamii Forums mobile app
It's possible to do construction and operation simultaneously without affecting the performance of any side, the wings which will be expanded are located in the low interactive part of the building,How do u do that while the terminal is in operation?
I can’t imagine sgr station iko complete na our blue buses zika zinapita hapo mbele kila wakati.....it’s gonna be spectacular!Kumbe kuna nafasi kubwa ya kupanua barabara kwenye uwanja wa TRC sikujua .nlkua najiuliza BRT itapitaje hapo the space is big kuweka hata 3*3
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee very interesting, "Hii ndiyo Tanzania ninayoitaka"[emoji122][emoji122]Dar es Salaam, Tanzania
EIST TECHNOLOGY - TANZANIA
Mkuu usimung'unye maneno kisa hilo ghorofa lipo Kenya, ni kwamba hilo ni kaburi mzee tuwe wakweli katika hili.thats why nikakwambia ya kwamba waliungaunga lkn bado lipo vizur, tatizo lake kubwa ni kwmba walilijenga kimaskini
Sent using Jamii Forums mobile app