Usitoke nje ya mada kabisa, swali ni je!!mbna huaga hamjielewi km mnataka nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo lako mgumu kuelewa, nimekuuliza unazifahamu aina ngapi za aerial photographs? Kama unazifahamu ungeelewa moja kwa moja kuwa aerial tunayo itaka ni high-oblique ukikosa hata lower oblique sawa tu na sio aerial photo unayo fikiria wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imeingia hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha nicheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivi unajua huku kahama is just a district! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli mmeshikwa pabaya
Ilete hyo mwanza basi tuona km ina uwezo wa kujaza ghorofa hapoHii + Kisumu + Nakuru = Mwanza
mbona jirani mwatumia zero distance πdunia ya nne hiiπππππ ohh sisi GDP
Kwa taarifa nikija msa nafikia nyumban,familia umejaa hukoMuongo mwngine huyo...
Haya tueleze km ilikuwa mombasa wapwapi jomba nikuumbuwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu kupiga ukuta tu hao watalii wawe wanauangalia tu kwa mbali bila kuukaribia af tuone km watakubali maamaeeNa moja kati ya msemo wao maarufu ndio huo "Tanzania got the mountain, Kenya got the view" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapuuzi wa kubwa.
Mbn mnaweweseka, mtu bdo hajamalizia story mnaanza kumklash as if amesema alikutana na uharo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] komora jiamini tu huenda jamaa alistuka baada ya kukutana na maendeleo makubwa huko msa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muongo mwngine huyo...
Haya tueleze km ilikuwa mombasa wapwapi jomba nikuumbuwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukuta labda uwe kama wa Babel! Haiwezekani mzee dawa ni kutangaza our good spots pia! Kwa mfano view nzuri zaidi ya hiyo ya Amboseli inapatikana tokea Arusha NP kutokea Ngurdoto crater, ila haijatangazwa vilivyo!Ishu kupiga ukuta tu hao watalii wawe wanauangalia tu kwa mbali bila kuukaribia af tuone km watakubali maamaee
kwa kuview hamjambo. (chabo) πAmboseli national park,,the only place that has the best view of mt Kilimanjaro
View attachment 1416981
Unataka niifukunyue nakuru watu waone ilivyo ya ajabu na haiwezi match with Moshi ππππ?Imeingia hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani huamini km hyo ni nakuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!ingelikuwa ushaleta cbd tayari tuione..On
Unataka niifukunyue nakuru watu waone ilivyo ya ajabu na haiwezi match with Moshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?
Juzi nilimkamata ichoboy, leo pia nataka kumkamata mwenzako...we pia ukijilengesha na mombasa nakuumbua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbn mnaweweseka, mtu bdo hajamalizia story mnaanza kumklash as if amesema alikutana na uharo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] komora jiamini tu huenda jamaa alistuka baada ya kukutana na maendeleo makubwa huko msa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inatakiwa uwe umeshajibu tayari, kuhusu sijui ni nyumbani hyo ni yakoKwa taarifa nikija msa nafikia nyumban,familia umejaa huko
Kulinga na data zenu za vijiweni[emoji1787][emoji1787]wakenya watalia kwa hili standard gauge yao imepigwa chini na tazara[emoji56][emoji56][emoji6][emoji6]
sijui waliwaza nini karne hii kutengeneza reli ya mitungi 70's
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa mkao wa kula nikirudi jiandae kuumia
Naisubiria kw hamu sana hyo cbd[emoji1787][emoji1787]Kaa mkao wa kula nikilejea jiandae kuumia
Mlima utapigwa picha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pia kikubwa ni privacy policy ziwekwe yaani ni marufuku kupiga picha mlima ukiwa eneo la kenya bila ya kibali toka tanzania,,,,, kwa foreigner yeyote yule na atakayepiga apigwe faini matata
Sent using Jamii Forums mobile app
safari hii old town imekutana na gwiji kwenye suburbπππππππππBwahahaaaa!!heal the pain bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
We unaonaje kulingana na akili za vijiwenihiyo reli yetu ya 60s inatofauti gani na hiyo reli yenu ya 2020 hauoni kama zipo same level
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππ na bado imeishia machakanihiyo reli yetu ya 60s inatofauti gani na hiyo reli yenu ya 2020 hauoni kama zipo same level
Sent using Jamii Forums mobile app