komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mkuu leo tumewapiga kipigo cha mbwa koko huwezi tena kuwasikia wakiongelea hz sekta mbili afya na majini kamwe huwezi sikiaThe best 007 hebu leta ile video wakivuka border kutafuta matibabu KCMC moshi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu leo tumewapiga kipigo cha mbwa koko huwezi tena kuwasikia wakiongelea hz sekta mbili afya na majini kamwe huwezi sikia
Upande wa Kunyaland always disappointing!Mwiba wa bridge nyingine hio almost 100m 👏👏👏👏
Ndugu impact ya tulichokifanya kwny sector ya afya huwezi kuiona leo, tupe miaka miwili mbele utaelewa namaanisha nn, hata kwny hyo article uliyoleta kuna sehemu wamekuandikia vzr kuhusu hilo [emoji116][emoji116]Tuwache kufananisha hospitals in terms of buildings,, facilities and health care is the key,see the best countries in Africa in regards to health care 2020,,hii stori tmemaliza,let's focus in other things
View attachment 1409769View attachment 1409770
mazingira si rafiki kabisa...Ndio zile za likoni [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1409483
kwani huko turkana na mandera wanaishi wanyama pori.....?..Watu wa magofu hamjambo[emoji1787][emoji1787]
Yani kenya mpaka raha, vifaa vinapatikana mpka mandera na turkana..
Baadhi ya vifaaView attachment 1409491View attachment 1409492View attachment 1409493
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo jamaa ni marehemu alipigwa virungu na kdf sababu yakupinga aratibu za kutotoka nnje kwenye kipindi hiki cha janga la Covid19kwani MK254 Leo yuko wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
mbayaaaaa imekaa kama shule ya msaadaHosipitali Kenya ni nyingi sana.....Othaya level 6 hospitalView attachment 1409633
Sent using Jamii Forums mobile app
wajifunze jinsi yakujenga majengo yao kisasa,, maana wanamajengo yasiyo na ubora yenye muonekano chakavuHehehe mamaee fikeni hapa sio munachukua picha munasema zenu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1409731View attachment 1409732View attachment 1409733View attachment 1409734View attachment 1409735View attachment 1409736View attachment 1409737
inafaa kuwa museum houseHebu tuoneshe aga khan ya nairobi tucheke[emoji23][emoji23][emoji23] ndo huu uchafu
View attachment 1409743View attachment 1409744
Kwa hio article ya kenya imesema Uhuru amelalal??Ndugu impact ya tulichokifanya kwny sector ya afya huwezi kuiona leo, tupe miaka miwili mbele utaelewa namaanisha nn, hata kwny hyo article uliyoleta kuna sehemu wamekuandikia vzr kuhusu hilo [emoji116][emoji116]View attachment 1409807
Nyuma ya hayo majengo kuna dampo la makazi