ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
Sinilikwambia hawezi leta umeamini😂👇sasa kama vifaa ni tizi hayo majengo inakuwaje kuna ile picha post za juu mitungi ya gesi nikajua welding station
kumbe mitungi ya 0xygen hospital🏨🏨
Nakwambia hakuna hospital ya kisasa na kubwa mombasa au kisumu kama bugando hakuna na hawatapata subiri utaona😂😂😂
Mwambie mwenzio akueleze maana ya ultramodern hospital kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]manake unafuata mkondo tu wala hujui kunaendelea nn
Sent using Jamii Forums mobile app