sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Hebu tuoneshe aga khan ya nairobi tucheke😂😂😂 ndo huu uchafuHapo nje vumbi la kisawa sawa..
Cheki vitu hvo
View attachment 1409729
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa south hku hulete picha watu wanakoroga zegeNimeweka kimakosa lakini hiyo ni ndogo sana ya kupigia kelele.....Outspan hospital NyeriView attachment 1409703View attachment 1409704
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mwanza na arusha combine zina hospitali ngapi za maana nikuletee za mombasa pekeakeZiko wapi za mombasa na kisumu tucheke hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pinga kw hoja kw hoja basi, manake wabaluhya wa kakamega kule ndio ushago kwao hata km wanaishi nairobi..Hehe yani wewe unaona watu wajinga sana humu ndani sindio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala usihangaike tafuta hospital kubwa na ya kisasa kama hii mombasa na kisumu ukipata nitag mmKwanza mwanza na arusha combine zina hospitali ngapi za maana nikuletee za mombasa pekeake
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukitoka nje unakutana na vumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe mamaee fikeni hapa sio munachukua picha munasema zenu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1409731View attachment 1409732View attachment 1409733View attachment 1409734View attachment 1409735View attachment 1409736View attachment 1409737
Nje hakuna vumbi hapo jomba[emoji382][emoji382][emoji382]Hebu tuoneshe aga khan ya nairobi tucheke[emoji23][emoji23][emoji23] ndo huu uchafu
View attachment 1409743View attachment 1409744
😂😂😂👇👇👇Pinga kw hoja kw hoja basi, manake wabaluhya wa kakamega kule ndio ushago kwao hata km wanaishi nairobi..
Wa machakos pia vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Aerial view 😂😂👇👇👇Halafu ukitoka nje unakutana na vumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uheheheh hospitali utasema gofu la kufugia kuku na njiwa😂😂😂
Ndipo nikakwambia tutafuta mjengo km huo au vp...Wala usihangaike tafuta hospital kubwa na ya kisasa kama hii mombasa na kisumu ukipata nitag mm
bugando medical mwanza
front side
View attachment 1409748
back side
View attachment 1409749
Si uzilete hapa kama wewe mwanaume top 5 za mombasa tuone kama utakaa humu ndani😂😂😂😂😂Ndipo nikakwambia tutafuta mjengo km huo au vp...
Manake hyo huwezi ipambanisha hata na top 5 za mombasa kw ubora wa matibabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu ziwa kidogo,few kms umeingia TzAhahaha geographical areA ndio kisingizio kwan mwanza na kisumu kunatofaut gani ??? Kwann hua hamukubaki mukishindwa 😂😂
Enheee...umekuja pazuri sasa, nionyeshe maana ya ushagoo kulingana na wewe..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1409750
View attachment 1409752