bila kusahau pia ni yamikopoKwan pia umesahau budget yenu hua haikosi scandle ya wizi muna gaida gani nayo??
Inflation 😁😁😁10. Water supply
11. Power supply
12. Food supply
The once slums in Kenya are upgrading. Kangemi is upgrading.
View attachment 1410141View attachment 1410142
Kauli mbiu km hizi zilikuwa nadra sana enzi zile
Soon to Geita, Musoma, Tanga, Songea n Mtwara after construction/rehabilitation of the respective airports!
Baada ya kuogopa kuja kushindana na hosipitali zetu za countyMkuu leo tumewapiga kipigo cha mbwa koko huwezi tena kuwasikia wakiongelea hz sekta mbili afya na majini kamwe huwezi sikia
Ndio mumeanza sai sio, watu ndio wanasongaNdugu impact ya tulichokifanya kwny sector ya afya huwezi kuiona leo, tupe miaka miwili mbele utaelewa namaanisha nn, hata kwny hyo article uliyoleta kuna sehemu wamekuandikia vzr kuhusu hilo [emoji116][emoji116]View attachment 1409807
Tunaijua kenya sisi, kumbe watupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo jamaa ni marehemu alipigwa virungu na kdf sababu yakupinga aratibu za kutotoka nnje kwenye kipindi hiki cha janga la Covid19
Sent using Jamii Forums mobile app
leta recent clip with paved road!
Akikuletea tu nitag😂😂😂leta recent clip with paved road!