sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Hahahaaa!!ni aibu kuipambanisha hyo hospitali na hospotali kubwa kubwa za mombasaSi uzilete hapa kama wewe mwanaume top 5 za mombasa tuone kama utakaa humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sai anataka kuilinganisha bugando na zile hospitali za mombasa...
Watuuu, kujeni nuone hospitali zao za mashinani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ikonda hosiptal 800+ km kutoka dar ukihitaj kujua zaidi kuhu hii hospital wauliza raia wa zambia malawi na watz wenyewView attachment 1409756View attachment 1409757View attachment 1409758
Hehehehe leo ndio nimeamini kwann munavuka border kutafuta matibabu tanzania😂😂😂Hahahaaa!!ni aibu kuipambanisha hyo hospitali na hospotali kubwa kubwa za mombasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilete basi kama nyinyi ni wanaume wa kweli zileteni hapa 😂😂😂😂 munazunguka huku na kule maneno mengi ya nnSai anataka kuilinganisha bugando na zile hospitali za mombasa...
Heheee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuletee wewe za ushago tuzione hapa kama wewe dume kweli😃😃😃😃Watuuu, kujeni nuone hospitali zao za mashinani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We, mbna unaleta aibu..wenzako huaga wanaleta mijengo tu katika hospitali km hzo, wewe utaanzaje kuleta vifaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicxie Teargass Zigi Rizla mwaswast kujeni muone mwizi tumekamata huku inaiba hospitali za Tz inasema za kenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Leo agakhan hospital ya dar imefika mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1409678
Km ni watu wa taveta waache waendelee kuvuka mpka tu, manake km ni hao hko ni km kwaoHehehehe leo ndio nimeamini kwann munavuka border kutafuta matibabu tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maji ya shingoHahahhaha Geza Ulole njooni mujionee leo aga khan ya dar imehamia mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa!!ulitaka waende nairobi au mombasa wakati moshi nikuvuka mpaka tu..The best 007 hebu leta ile video wakivuka border kutafuta matibabu KCMC moshi
Tuwe makini nao sn hawa watu huwa wanatuibia mali zetu wanasema zao, leo kadakwa mtu patamu sana na hawezi kurudi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwenzako kashachanganyikia [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116] aga khan ya dar ishafika mombasa tayar
View attachment 1409683
Hehehee!!si nilikutajia maeneo km ushago kw wakenya ukapinga, sasa unapswa ulete weweTuletee wewe za ushago tuzione hapa kama wewe dume kweli[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hahaa ndumila kuwili umesema sie twajenga magofu na hakuna vifaa nimeamua nikuletee hospital hiyo ni moja wapo ya hospital za kawaida tukisema tuletee hospital zote za bongo tutajaza sever na mtakimbia humuuWatuuu, kujeni nuone hospitali zao za mashinani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We, mbna unaleta aibu..wenzako huaga wanaleta mijengo tu katika hospitali km hzo, wewe utaanzaje kuleta vifaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hm siwezi zikosea heshima hzo hospitali mazeeZilete basi kama nyinyi ni wanaume wa kweli zileteni hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] munazunguka huku na kule maneno mengi ya nn
Basi hvyo ndio vifaa vya kuleta humuHahaa ndumila kuwili umesema sie twajenga magofu na hakuna vifaa nimeamua nikuletee hospital hiyo ni moja wapo ya hospital za kawaida tukisema tuletee hospital zote za bongo tutajaza sever na mtakimbia humuu
Ikonda hosiptal 800+ km kutoka dar ukihitaj kujua zaidi kuhu hii hospital wauliza raia wa zambia malawi na watz wenyewView attachment 1409756View attachment 1409757View attachment 1409758