Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kubali yaishe, ea yote hamana kifaa km hichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1409531View attachment 1409532

Sent using Jamii Forums mobile app
meli1.jpg


zanfastfeeris.jpg
 
Sector ambazo watashinda ni slums na njaa bila kusahau police killings hzo watashinda bila wasiwasi😂😂😂😂
Kwanza its unfair ku-compare low speed short distance Mv Jambo n Mv Safari to high speed long distance Sealink, Mv Mapinduzi and Seastar as their peers r Mv Magogoni Mv Kigamboni, Mv Kazi n Mv Kivukoni!
 
Bakora zinekuingia sasa unaanza kutafuta njia ya kutokea hapa hutoki [emoji23][emoji23][emoji23] ulivo mpumbavu umeenda kugusa umeme wa high voltage kwenye marine sector hapa hutoki mpaka tuhakikaishe umejua maana critical care beds [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndipo nikakwambia malizana na hzo zenu tano kwanza halafu uje tupambane..
Yani hapa sitaki sijui nikupe kenyatta,moi..
Nitacheza na wewe nyanja za counties tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndipo nikakwambia malizana na hzo zenu tano kwanza halafu uje tupambane..
Yani hapa sitaki sijui nikupe kenyatta,moi..
Nitacheza na wewe nyanja za counties tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bakora leo imekuingia vyema magufuli atoe billions of money kujenga ultra modern hospitals alaf zikae tupu au sio au unafkiri ni ile tz ya 90😂😂😂😂
 
Ndipo nikakwambia malizana na hzo zenu tano kwanza halafu uje tupambane..
Yani hapa sitaki sijui nikupe kenyatta,moi..
Nitacheza na wewe nyanja za counties tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee tuna hospitali nyingi mpya mpk uswazi mzee, moyo wako unavyokwambia kwmb usiguse sekta ya afya wala usiupinge, usikilize moyo wako utaumbuka nakwambia
 
Back
Top Bottom