Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kenyatta university referral na moi teaching hazipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww mbn unaingia unatoka unaingia unatoka hujiamini auu[emoji3][emoji3] km unajiamini tunataka kuanzisha mbungi ya hospitali kenya vs Tz je upo ready?? Wenzio wame change gear angani wameanza kuleta battle ya kijinga eti beds af beds zenyewe ni za msaada, hahahahahahahahahaaaaa yn tukae hapa tuanze kubishania vitanda jmn hii haki kweli hii, bei yake sh ngp kitanda ikiwa tunanunua mashine za kitabibu ambazo hazipatikani EA nzima itakuwa kitanda?? Smh
 
Huyo huwa haelewi kiingereza. Hiyo screenshot yake is clearly written...or critical care unit lakini bado anabisha. The word critical is already used to define ICU lakini bado anatusumbua
So mna ICU 518 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ushakubali tayar ya kwmb ni vitanda co, hehehehehe ndo mana huwa nasema hawa ni wa kwenda nao taratibu wana mihemko sn huwa hawasomi kitu wakakielewa
Kuna ICU isikuwa na kitanda? Without that special bed it can't be called ICU unless kama za kwena hazina vitanda
 
Ww mbn unaingia unatoka unaingia unatoka hujiamini auu[emoji3][emoji3] km unajiamini tunataka kuanzisha mbungi ya hospitali kenya vs Tz je upo ready?? Wenzio wame change gear angani wameanza kuleta battle ya kijinga eti beds af beds zenyewe ni za msaada, hahahahahahahahahaaaaa yn tukae hapa tuanze kubishania vitanda jmn hii haki kweli hii, bei yake sh ngp kitanda ikiwa tunanunua mashine za kitabibu ambazo hazipatikani EA nzima itakuwa kitanda?? Smh
😂 😂 😂 😂 hasira zimeanza. Ingekuwa ni rahisi hivyo hamngekuwa nazo 38 tu
 
So mna ICU 518 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio in different parts of the country wakati nyinyi mnazo 38. Alafu jaribu ufundishe ichoboy kizungu kidogo. Haelewi hata links na screenshots anazoleta hapa. Ona anavyojichanganya na hiyo screen shot yake! Anatia huruma kwa kweli
 
Actually tuko na 59, not 57 and that's because our capacity to do tests is three times what you can manage. It's even a good thing we are getting these people to avoid maambukizi zaidi. Wale wenye waligundulikaleo wangeendelea kuambukiza wengine kama tungeweka maombi mbele na sio vipimo
Sisi hata tukiamua kupima nchi nzima haitakaa itokee tuwe na cases nyng km nyinyi cz cc haturundikwi sehemu moja km mizoga the way polisi wanawafanyia nyie cc co wamyama hatupangiwi mda wa kulala hatupigwi mabomu pia hatuna njaa ya kuvuka kwenda nchi ya ng'ambo kuomba chakula na ndio maana haiwezi kusambaa km kwenu au km nchi zngne za EA
 
What a sweet way to defend your inadequacies! Keep up and don't forget to pray
 
Ndio in different parts of the country wakati nyinyi mnazo 38. Alafu jaribu ufundishe ichoboy kizungu kidogo. Haelewi hata links na screenshots anazoleta hapa. Ona anavyojichanganya na hiyo screen shot yake! Anatia huruma kwa kweli
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1585692976740.jpeg
 
Naona mumeamua kurudi sasa, manake ile aibu mumekutana nayo sidhani km mngelithubutu hata kujaribu kuleta data za kutoka pande..

Bali mmebaki kando kando km wanawake wa tandale waliomsindikiza mwenzao kwenda kumchamba mchepuko wa mumewe..eti hzo data ni za 2009 lkn sioni yyte anayetaka kujiingiza nyote mlikuwa mnaogopa msiulizwe za 2020 ziko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
sikuelewi unachozungumza mzee bora unyamaze tu unajifedhehesha [emoji4][emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Af ni donation na bado mna brag about in here, dah mkenya ni mkenya tu walahi
Ameleta tu hiyo kumjibu yule kilaza wenu Aliyetaka aonyeshwe Kitanda cha ICU. No wapi Kenya imetajwa hapo? Asira zimewapanda already?
 
Back
Top Bottom