Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where is it written critical care bed? And why would you put someone who has just tested positive to the virus on a critical care bed if his or her condition does not warrant that? Most Coronavirus patients show just mild symptoms and only a few are put in critical care beds. Currently, there are only two patients on critical care in Kenya out of the 59.

The wards you showed are mere isolation words that county governments have set aside to ensure that Coronavirus patients do not mix with other ordinary patients. Acha kulazimisha mambo
Byda kati ya hao 59 kumi ni raia wa kigeni mazee..sijui hata hili balaa limewapate hku, au ndio wale walokutwa airport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia jichoboy amekimbia, ywataka kusema icu sio kitanda ila ni room..
Wakati hajui vile vifaa vyote vya icu katika room vinakuwa attached na kile kitanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Those are the people we deal with here. Nashangaa hata wenzake hawawezi kumkosoa. He claims he knows much about ICU but he forgets that it can't be called ICU minus that special bed. For it to be called ICU hiyo kitanda maalum lazima kiwepo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hii sasa imebamba,,,,,,,imeshawagusa tiyari wazee wa ICU 350

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mumeamua kurudi sasa, manake ile aibu mumekutana nayo sidhani km mngelithubutu hata kujaribu kuleta data za kutoka pande..

Bali mmebaki kando kando km wanawake wa tandale waliomsindikiza mwenzao kwenda kumchamba mchepuko wa mumewe..eti hzo data ni za 2009 lkn sioni yyte anayetaka kujiingiza nyote mlikuwa mnaogopa msiulizwe za 2020 ziko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona mwingine analeta data za words set aside by county governments to treat Coronavirus patients and he's insisting those are the ICU beds. Hii kitu ni kujipanga nani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitu nimegundua pia nyie ni wavivu mno hamuwezi kupiga hata hesabu ndogo km hz haya hesabu tuone hzo 518, c ni nyie mabingwa wa kuhesabu floor haya hesabu hapo ije 518 maanina[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
tapatalk_1585692976740.jpeg
 
Those are the people we deal with here. Nashangaa hata wenzake hawawezi kumkosoa. He claims he knows much about ICU but he forgets that it can't be called ICU minus that special bed. For it to be called ICU hiyo kitanda maalum lazima kiwepo.
Yani bila kile kitanda hyo itakua room ya kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda uanze kwa kumsaidie yule kilaza mwenzako who doesn't know that critical care unit and intensive care unit are one and the same thing. Analeta hadi screen shot that says so ila bado anaongea pumba
Ingependeza ungeanza kumwambia yule mjinga mwenzako ambaye yeye pamoja na wewe mnazidiwa akili na locust Kwanini kila siku anaibika humu kwa kupenda kucopy na kupaste bila kufanya kautafiti kwanza,
Imagine angesoma comments za kwenye ile tweet asingeaibika 😂😂😂
 
Back
Top Bottom