Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The later is called HDU (High Dependency Unit). Wako nazo nane tu in the entire country. Kweli hawa watu wametushinda
Munatandika beds kwenye wodi munaita ICU๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ muna safari ndefu sana
 
Jubilee Inatandika beds alaf inadanganya wakenya muna ICU 300๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ munasafari ndefu sana
 
Worry out Dr BRT[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1405392
So hyo hapo ni nn mr geography
20200331_232936.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali sisi tumetandika 300. Nyinyi mmetandika 38
Sisi hatujatandika wameonesha real ICU we have and not spread beds fala wewe tumetoa hospital kubwa kibaha yote kwa ajili ya corona virus
 
Ahahahaha mamaee munafanya watu wapuuzi humu ndani kazi mulioifanya nyinyi kutandika vitanda kwa ajili ya wagonjwa wa corona na sio ICU labda hujui maana ya ICU๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Am sure hata watanzania wenzako wanakushangaa jinsi ilivyo kilaza.
 
Back
Top Bottom