Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,880
Huyo kijana sisi tunamwelewa
Huyo kijana sisi tunamwelewa
Hapa amefika leoHuyo huwa haelewi kiingereza. Hiyo screenshot yake is clearly written...or critical care unit lakini bado anabisha. The word critical is already used to define ICU lakini bado anatusumbua
...or critical care unit... na bado unabisha. Wewe ujinga wako haina kipimoWala usijal hii hapa unahangaika😂😂👇👇
Special department of a hospital or healtj care facility
View attachment 1405401
Tulia kw mada please[emoji1787]Mkenya hata akikwambia nje kuna mvua na maji unayaskia toka nje ukachungulie kwa macho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mr critical care unit[emoji1787][emoji1787]Tuletee official source [emoji23][emoji23] ili tuone unaakili
Huna jipya ww nakuona mpuuzi tu
Kwamba critical care beds ni ICU ***** dahhh😂😂😂😂😂
Mr. Critical beds ICU ni room sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana sisi tuna ICU 350 mamaee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafkiri ICU is just chewing miraa
Haitakaa kua critical beds ni sawa na ICU nakwambia mpaka yesu anashuka haitakuja kutokea...or critical care unit... na bado unabisha. Wewe ujinga wako haina kipimo
Usipoteze muda 👇👇👇👇Mr. Critical beds ICU ni room sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
huo urembo wa hiyo logo yao utasema urembo wa midoli ya watoto umekaa kikinderaten sana[emoji23][emoji23]Kiota
![]()
Ni kama hao wenye huwekwa ICU hulala chini wakitibiwa. They don't need beds 😂 😂 😂 😂 the way this guy argues and reasons!!! I hope not all Tanzanians are like himHahhaaaa!!ICU beds not ICU...
Watu kujeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na post yako pia[emoji1787][emoji1787]Mr. Critical beds ICU ni room sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba critical care beds ni ICU ***** dahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Actually tuko na 59, not 57 and that's because our capacity to do tests is three times what you can manage. It's even a good thing we are getting these people to avoid maambukizi zaidi. Wale wenye waligundulikaleo wangeendelea kuambukiza wengine kama tungeweka maombi mbele na sio vipimoNdio kwa sababu bado hatuna uhitaji na wagonjwa ni 19 vp kwenu 57 munapeleka vipimo south africa
Tunapeleka vipimo South Africa? 😂 😂 😂 😂 😂Ndio kwa sababu bado hatuna uhitaji na wagonjwa ni 19 vp kwenu 57 munapeleka vipimo south africa
Wajinga wa copy and paste bila kufanya kautafiti si wameumbuka leo 😂😂😂Acha ujinga, nmetoa kwny link yko hyo data, ni 256 ICU beds[emoji116][emoji116] unless utuambie hzo 518 ICU beds znapatikana kwny hospital zipi na zpo kwny counties zp na utupe credible sourceView attachment 1405464
Hahaaa!!umejifanya hukuiona hii post sasa unagikiria watu wamelala ndio ukaamua kuja..Acha ujinga, nmetoa kwny link yko hyo data, ni 256 ICU beds[emoji116][emoji116] unless utuambie hzo 518 ICU beds znapatikana kwny hospital zipi na zpo kwny counties zp na utupe credible sourceView attachment 1405464
Where is it written critical care bed? And why would you put someone who has just tested positive to the virus on a critical care bed if his or her condition does not warrant that? Most Coronavirus patients show just mild symptoms and only a few are put in critical care beds. Currently, there are only two patients on critical care in Kenya out of the 59.Nyinyi mume set critical Care beds for corona and not ICU 😂😂😂😂
Wajinga wa copy and paste bila kufanya kautafiti si wameumbuka leo 😂😂😂
Usione wanajicomentisha hapo ni aibu zinafichwa,
Wameaibika hadi na mzungu wao.