kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Who told you hio dyo logo ya KBC,poor youhuo urembo wa hiyo logo yao utasema urembo wa midoli ya watoto umekaa kikinderaten sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Who told you hio dyo logo ya KBC,poor youhuo urembo wa hiyo logo yao utasema urembo wa midoli ya watoto umekaa kikinderaten sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
majiran lazima wanune
All our samples are tested locally. Nionyeshe mahali inasemwa tunapeleka vipimo SASasa wanaopeleka vipimo South Africa wanahali gani sijui
So a Kenyan did it?everyone can create that design and write icu instead of critical care beds 🤷🏾♂️
Jubilee ikitandika vitanda inawadanganya ICU😂😂 muna safari ndefu sanaSo a Kenyan did it?
Jana ndio wamethibitisha kuwa wanaiogopa Tz, tulipowaambia waseme suu ili tushindane kwny hospitali wakajifanya wehu eti wamehamisha mada kwny vitanda, Dah nimeshangaa sana yn wakenya wanavyopenda kushindana lkn jana wamegoma kabisa [emoji3][emoji3][emoji3] wanaanza kutoa excuses za kitoto eti oohh toa defn ya hospital mara ooohhh nyie mna majengo tu ss kwn hospitali c lazima iwe na majengo au wanataka hospitali za sangoma [emoji3][emoji3][emoji3] wamenishangaza sn jana aiseeOhhh tuna critical care beds 350 sisi tunapamabana na corona hvi [emoji23][emoji23][emoji116] muna safari ndefu sana
hahaha nimecheka sana 😁😁😁 yani wanaiogopa sana tanzania yani wangejaribu wakajionea maajabu ningewanyoosha humu wasingekaa kuaminiJana ndio wamethibitisha kuwa wanaiogopa Tz, tulipowaambia waseme suu ili tushindane kwny hospitali wakajifanya wehu eti wamehamisha mada kwny vitanda, Dah nimeshangaa sana yn wakenya wanavyopenda kushindana lkn jana wamegoma kabisa [emoji3][emoji3][emoji3] wanaanza kutoa excuses za kitoto eti oohh toa defn ya hospital mara ooohhh nyie mna majengo tu ss kwn hospitali c lazima iwe na majengo au wanataka hospitali za sangoma [emoji3][emoji3][emoji3] wamenishangaza sn jana aisee
Hawawezi kujaribu mkuu wanajua kuwa kwny afya tuko mbali snhahaha nimecheka sana [emoji16][emoji16][emoji16] yani wanaiogopa sana tanzania yani wangejaribu wakajionea maajabu
Bwahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Af ni donation na bado mna brag about in here, dah mkenya ni mkenya tu walahi
ICU ni kile kitanda boss,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ushakubali tayar ya kwmb ni vitanda co, hehehehehe ndo mana huwa nasema hawa ni wa kwenda nao taratibu wana mihemko sn huwa hawasomi kitu wakakielewa
Umeelewa kingereza kwel[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1405500