ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nimecheka sana leo kwamba critical care bed imekua ICU😃😃😃😃😃Am sure hata watanzania wenzako wanakushangaa jinsi ilivyo kilaza.
Nimecheka sana leo kwamba critical care bed imekua ICU😃😃😃😃😃Am sure hata watanzania wenzako wanakushangaa jinsi ilivyo kilaza.
Kama ile ya millionares ilivowaumbua huu mwaka 😂😂😂😂Data za miaka minne iliyopita tena ya hospitali moja tu,
Ni ile tabia yao na mabwana zao ya kupunguza namba ili waendelee kujifariji.
Wimbo wa sisiemu inakosa ladha 😂 😂Yani leo tumewabana kinoma, kila wakijaribu kutoka kwenye mada tunawarudisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yani hawa watu ni wapuuzi sana jubilee imewatandikia vitanda wakadanganywa ICU😃😃😃😃[emoji1][emoji1].. hajielewi...
Ni mchezo tu kwenu ndio maana mko nazo 38, si kwetuUmembana nani unachanganyikiwa kutandika beds na ICU hahaha hujui maana ya ICU wewe unafkiri mchezo😃😃😃😃
Corona ni ya miaka minnke iliyopitaData za miaka minne iliyopita tena ya hospitali moja tu,
Ni ile tabia yao na mabwana zao ya kupunguza namba ili waendelee kujifariji.
Wanafkiri ICU ni kama kula githeri 😃😃😃those are critical care beds currently used for coronavirus patients.. they’re not ICU..
Leta official source kenya ina ICU ngap hapa alaf uone kama utatoka humu ndaniNi mchezo tu kwenu ndio maana mko nazo 38, si kwetu
Nakupiga na post yako kumbe hamfungui link huaga mna post tu[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]those are critical care beds currently used for coronavirus patients.. they’re not ICU..
Umeona Kuna sehemu hiyo comment yangu imezungumzia corona?
Na wewe una mada kumbe!
Corona patients are not placed on critical wards if their conditions do not warrant that. If you read the article well, it is written that Kenya has 518 critical care beds and out of these, 419 are already occupied. Does kenya has 419 Covid-19 patients?those are critical care beds currently used for coronavirus patients.. they’re not ICU..
Yes i see ICU beds and not ICU 😃😃😃 yani wewe unajipa matumaini na critical care beds and not ICU never ever😂😂👇👇Nakupiga na post yako kumbe hamfungui link huaga mna post tu[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1405397
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kulingana na screenshot yako na comment yako haviendani kabisa...Tz wamesema ICU and not critical care beds hawa watu ni wapuuzi sijapata ona yani wanasafari ndefu sana kwneye maendeleo
Tanzania wametandika vitanda 38 kenya 518Na wewe una mada kumbe!
Labda neno mada lina maana nyingine siku hizi.
Critical care beds is not ICU yani usichanganye mchele na unga kabisa ni vitu viwili tofaut 😂😂😂Corona patients are not placed on critical wards if their conditions do not warrant that. If you read the article well, it is written that Kenya has 518 critical care beds and out of these, 419 are already occupied. Does kenya has 419 Covid-19 patients?
Hahhaaaa!!ICU beds not ICU...Yes i see ICU beds and not ICU [emoji2][emoji2][emoji2] yani wewe unajipa matumaini na critical care beds and not ICU never ever[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
aga khan ni hospital kubwa na ya kimataifa ina ICU rooms 11 nairobi
Wala usijal hii hapa unahangaika😂😂👇👇Na kulingana na screnshot yako na comment yako haviendabi kabisa...
Tena huaga mnasoma mnacho post hapa jf kwelView attachment 1405399
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe munajifariji na critical care beds and not ICU mark my words 😃😃😃😃Hahhaaaa!!ICU beds not ICU...
Watu kujeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walio na safari ndefu ni wale wenye maabara mojaMunatandika beds kwenye wodi munaita ICU😃😃😃😃 muna safari ndefu sana