Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anakwepaaa [emoji3][emoji3][emoji3] kweli hii co Tz ya 90s, hawez kukubali cz anajua kitakachofuata ni aibu
Anza kwa kutuambia mko na vitanda ngapi za ICU kisha umalizue na maabara ya covid-19. We can use these two as a parameter to gauge which country has superior health system between the two
 
Duh!!38[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nicxie kuja ujionee jamaa amejiumbua hta bila ya kuulizwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana. sisiemu sio watu wazuri. na vile walutuaminisha kwamba sisi ndio bora kwenye hii sector??? Sisiemu hoyee!!!! 😂 😂 😂 😂
 
Nimecheka sana. sisiemu sio watu wazuri. na vile walutuaminisha kwamba sisi ndio bora kwenye hii sector??? Sisiemu hoyee!!!! 😂 😂 😂 😂
Hakuna sector munaeza enda sambamba na tanzania mark my words hakuna na kama huamini twende kazi am ready😃😃😃
 
Back
Top Bottom