Umesahau "New York of Africa"? π π πKila kitu lazma mujifananishe na america munaona america ni level yenu au laana ya kenyatta hioππππ
Kwn hyo habari walioiandika ni akina nani, hahaa hata kusoma pia hamuweziKila kitu lazma mujifananishe na america munaona america ni level yenu au laana ya kenyatta hio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ona hii.Mwengine kawadanganya miraa inatibu coronaππππππ
baada ya kuwatia watu majeraha na wengine mahututiYah!!jamaa wamekemea, sai ferry hakuna gsu..aliyempiga mwanahari sai ameitwa HQ anajiharia hku akingoja hukumu yake, curfew mombasa imekuwa extended..
Congrats KOT
Sent using Jamii Forums mobile app
In fact according to government spokesman Elvis Ogina, there are 518 ICU beds spread across different counties in the countryNiletee official source kenya ina ICU rooms 350 ukipata nitag mm wakwanza πππ
ππππππ mwenzako anapost upuuzi msaidieKwn hyo habari walioiandika ni akina nani, hahaa hata kusoma pia hamuwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haibadilishi hayo yote niliyokueleza, na wakenya tukikemea huaga tumemaanisha..baada ya kuwatia watu majeraha na wengine mahututi
Unataka ku drag mada[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] mwenzako anapost upuuzi msaidie
hvi ndio munapigana na corona wapuuzi wakubwa alaf munakuja hapa kufungua ushuzi
Wenu
Bed spread across yani hata akili ya kuzaliwa huna ππππ mumesambaza vitanda kwenye ma wodi munaita ICU za coronaIn fact according to government spokesman Elvis Ogina, there are 518 ICU beds spread across different counties in the country
Covid-19: Number of ICU beds in Kenya : The Standard
Kama kawa. And they are wondering how gullible they were to dance to sisiemu lies after seeing the figures
Uko tayar twende mzigoni nakusubiri wewe tuππ
Ahahaha lakini sindano imeingia i hope soπBado haibadilishi hayo yote niliyokueleza, na wakenya tukikemea huaga tumemaanisha..
Sai mtaendelea na habari za viporo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana content huyo. Ataanza kukuhesabia idadi ya floors za majengo saa hii tu. Huwa anachanganyikiwa akizidiwa
Yani nairobi counti pekee ina vitanda vingi vya ICU hata kuliko ule muungano wa wale majamaa pande zile za southIn fact according to government spokesman Elvis Ogina, there are 518 ICU beds spread across different counties in the country
Covid-19: Number of ICU beds in Kenya : The Standard
Idadi ya floors iliomkimbiza teargass humu ndani haonekani tena wala hataki kuisikia ile mada tena baada ya kujua ukweliπππHana content huyo. Ataanza kukuhesabia idadi ya floors za majengo saa hii tu. Huwa anachanganyikiwa akizidiwa
Hospitali ni majengo km ulivyosaidiwa na nicxie...haya ya post sasaUko tayar twende mzigoni nakusubiri wewe tu[emoji23][emoji23]
Ahahahahha ICU au sio za kutandika vitanda kwenye wodi πππππYani nairobi counti pekee ina vitanda vingi vya ICU hata kuliko ule muungano wa wale majamaa pande zile za south
Sent using Jamii Forums mobile app