Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana,,,yaani kwake ni kitu cha ajabu na kajivunia mwenyewe,,,, unasimama mbele ya wanaume halafu unajisifu kuwa umepanga kwenye estate wakati hata mademu nao wamepanga.....

huyo jamaa ni kichaaa ansumwa kifafa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unajivunia nini kujenga danguro jijini Na kuiita dream house? Kama hiyo ndio umejenga jijini, I can only imagine what you've built upcountry
 
Says someone who leases land from their own government. Kweli nyani haoni kundule
Kumbe ndio maana wakenya mna maisha magumu sn hapa EA hammiliki ardhi ndani ya nchi yenu, Dah aisee hiyo dhambi aliileta baba yake Kenyatta hyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umempa ya uso tena kushoto iyo inaitwa kubwa kuliko......eti nairobi hawawezi kujenga,,,,, wanafanya nairobi ni mbinguni. wanakwepana na uhalisia kuwa hawana pesa zakujenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi sio ile glorified fishing village yenu ambayo ardhi ni Shilingi mbili
 
Ss hz ni slums, ngj tulinganishe basi


Dar vs Nairobi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
tapatalk_1585224247570.jpeg
tapatalk_1585224250640.jpeg
tapatalk_1585207993672.jpeg
tapatalk_1585207998048.jpeg
 
Leta hapa planned areas zote za Nairobi tutakujibu kwa planned areas za Dar, tukisha maliza hilo then tutaenda kwenye unplanned settlements [emoji23][emoji23][emoji23]
planned zao ni zile zile tu za estate miaka nenda rudi Ukiwatoa hapo hawana cha kupost...
kwani upande wa pili ni vituko haibu tupu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao hujiona fahari sana kujenga dream house dar..
Yani mimi nihangaike kujenga mombasa na wakati nina kwetu, jinga sana hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajiona wako successful sana kumiliki hizo dream houses. They forget that some of the houses we rent are ten times better and expensive than those hovels of theirs
 
#AmKenyan Kenyans are scared. We do not know what tomorrow will look like. Instead of telling us how GOK will ensure we survive this as a country, they are waking Kenyatta up from his slumber to tell us we now have faster internet. Will we boil and eat 4G? #WaterAndFoodFirst #KOT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom