usikie wanvosifu GDP😁😁😁😁😁
Mambo yanawezekana sana tu...anajikwamisha mwenyewemkuu umempa ya uso tena kushoto iyo inaitwa kubwa kuliko......eti nairobi hawawezi kujenga,,,,, wanafanya nairobi ni mbinguni. wanakwepana na uhalisia kuwa hawana pesa zakujenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Be proud of your occupation as bar maid. Why are you feeling ashamed of it?
Hawawez kupanga budget halisia kulingana na mapato yao ? Yani kupanga budget sio issue rahisi kama wengi wanavyodhani...ombaomba
Umeona jamaa wanalipa wengine wanatumia mpka gesiZomm unioneshe ushuzi kama huu unafkiri mzungu ni mjinga sana asione slum dar aje aone nairibi
View attachment 1397763View attachment 1397764View attachment 1397765View attachment 1397766



Naona nyinyi mko na finishing nzuri sana!![]()
![]()
![]()
Ama hizi pia ni za 90s? The pot calling the kettle black!View attachment 1397768View attachment 1397769View attachment 1397770View attachment 1397771View attachment 1397772View attachment 1397773View attachment 1397774View attachment 1397775View attachment 1397776
Nyumba yako ni bei gani jomba, tena ina vyumba vingapiHahaha! nishasema unauwezo wa kupanga tu fullstop! but huna uwezo wa kujenga wala kununua nyumba yangu hata nikikupa 50%discount!
Wao hujiona fahari sana kujenga dream house dar..Nimejenga nyumba nzuri sana kijiji kwetu. Ten times better than the dream house you own in Dar with pride. Secondly, the house I rent in Nairobi is a million times expensive than your uswazi hovel that you own
Watu wanalipa umeme budaHahahhaa hzi ndio nyumba za karibu very clear picyani nimefurah sana umepost haya tupitie na hzi sasa mabanda ya nguruwe
mzungu anaakili sana aiseeView attachment 1397801View attachment 1397802View attachment 1397803View attachment 1397805View attachment 1397806View attachment 1397807View attachment 1397808View attachment 1397809View attachment 1397810View attachment 1397811View attachment 1397812View attachment 1397813


Achana na hayo hayahusiani na battle hii
Duh!!yani km kijiji flani kule congoshuka chini mzee,,,,,,,uzuri wa mwanamke siyo sura na urembo,,,utagongewa kila siku
hiyo place ni manzese na kuna mitaa hapo gari yeyote inaingia hata kukitokea na hitirafu
Sent using Jamii Forums mobile app


sio tu anajikwamisha bro hao watu wanamaisha magumu sana ndio maana hata mawazo ya kua na plot ni ndoto ya alinacha😁😁😁😁
Kama pesa ipo unajenga tu shida iko wap...uko kwenu ndio kuna nn so far?au ufahari tuWao hujiona fahari sana kujenga dream house dar..
Yani mimi nihangaike kujenga mombasa na wakati nina kwetu, jinga sana hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna hii hifanani na hyo na bado hatuja zoomZoom basi utuoneshe slum hehe unapost picha za mbali ili isionekane vzrunqhangaika kutafuta slums
![]()

That is the weakness of your land systems 😂😂😂kujenga dar hainiondolei ruhusa/fursa kujenga kijijini kwetu, na sio lazima nijenge kijiji kwetu naenda kujenga hata region nyingine ndani ya nchi yangu nitakako penda mwenyewe unlike you poor Kenyans infected with tribalism 😂😂😂Wao hujiona fahari sana kujenga dream house dar..
Yani mimi nihangaike kujenga mombasa na wakati nina kwetu, jinga sana hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia gas alaf unaishi humu😂😂👇
Uswazi ndio middle class za darEti analinganisha uswazi na middle +high income-earners areas za nairobi sasa high income-earners za huku atafananisha Beijing![]()