Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That is the weakness of your land systems 😂😂😂kujenga dar hainiondolei ruhusa/fursa kujenga kijijini kwetu, na sio lazima nijenge kijiji kwetu naenda kujenga hata region nyingine ndani ya nchi yangu nitakako penda mwenyewe unlike you poor Kenyans infected with tribalism 😂😂😂
Stop running away from facts. Mtanzania bora ashajenga dream house yake moja Dar ya rooms tatu amefanikiwa maishani. Any other thing is not important. And by the way, kama Dar ndio mnajenga hizi takataka sasa vijijini mnajenga nini?
 
Still upo kwenye shida moja tu ya mpangilio wa makazi 😂hatujawahi kuwa na conclusion juu ya ipi ni the best settlements organization
Of course this is the best. Don't you think so? 😂 😂 😂
Screenshot_20190801-184138.png
 
Unaumia kuskia watu wanajenga vijijini, kwn unataka watu wajenge uswazi mjini...

Jenga mjengo wa hadhi kwenu, halafu uongezee na rentals juu upige hela hku wewe ukibagi kupiga kazi mjini...siku una staafu hta ukirudi kupumzika unatulia katika mjengo bila stree hku ukila kodi..

Hata wanao wakikusahau utakua umeshajipanga na kashamba kiasi tu ka kujikip busy ukilimalima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vilaza ni kama wanataka tujenge uswazi Nairobi kama wao ndio wafurahi
 
Kwakweli niwe muwazi, Dar kuna sehemu nyng hazipo planned na mm huwa najiuliza mipango miji kazi yao ilikuwa nn, ila haijafika huko yn hapa Dar hakuna sehem km hyo na ukiprove hapa kwmb hyo ni Dar ctakuwa na cha kufanya zaidi ya kufunga account JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma kweli imekuwa nzito kwako. Kwa hivyo unakataa Dar mchana peupe. He's hivyo hata hiyo brt hapo pembeni huoni?? Anyway, you are not the first Tanzanian to deny picha za Dar. Ichoboy did the same until he could deny no more. Hapo ni Dar jomba
 
Ngoma kweli imekuwa nzito kwako. Kwa hivyo unakataa Dar mchana peupe. He's hivyo hata hiyo brt hapo pembeni huoni?? Anyway, you are not the first Tanzanian to deny picha za Dar. Ichoboy did the same until he could deny no more. Hapo ni Dar jomba
Kwny hyo picha yapo maeneo ni Dar ila mengine cjaweza kuyafahamu ni wapi
 
Huu ndu upuuzi na ubabe wa Marekan siupendi. Venezuela ni namba moja kwa reserve kubwa ya mafuta dunian
Ni mashetani sn yn hii hali ya Spain+Italy = US (ingependeza ikawa hivyo yn dunia kdg itapumua)
 
Back
Top Bottom