Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo biggest slum in the world is only 2.5 square kilometres. Dar is 1500 square kilometres and is entirely made up of dream houses in the most disorganized and confused manner. Get the difference. Unplanned areas in Nairobi ni chache sana compared to planned areas while the whole of Dar in one big unplanned settlement
😂😂😂😂👇👇👇👇 so ww na google eath nani mkweli
5FF598B0-9288-4F67-BBA0-57BF8DAC3CD8.png
 
We mabomu ya machozi skia, Tanzania ilivyo kubwa hivi eti uniambie barabara zilizotiwa lami ni Km 6000!!!? mbona hata akilini haingii....

Mahesabu yaliyofanyika hapo ni barabara kuu za nchi which is zinaunganisha pia nchi jirani.....

Hujazungumzia zile barabara za mikoa, yaan kutoka mkoa mmoja hadi mwingine, bado tena za wilaya ndani ya mikoa hiyo, bado tena kwenye matarafa, kata na mitaa ( just imagine tuu)
Mfano Dar ambao ndo mkoa mdogo kwa eneo (size) Tanzania nzima, chukua vipande vya barabara zake akina Kawawa Road, Ali Hassan Mwinyi, Mandela, Kilwa, Sam Nujoma, Old Bagamoyo na vibarabara vyote mjini hapa, weka total....

Af imagine sasa mikoani huko vile vibarabara vya ndani ya mji af weka total si utakimbia mwenyewe....

Sent using Jamii Forums mobile app
Km ni barabara kuu wasingeliandika hvo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So this means that the whole of Dar literally kila mtu ni wa kipato cha chini coz uswazi iko almost everyone. Hizi nyumba mnaita dream houses are virtually everywhere
Wewe leta area zote ambazo ni planned, caution ;usilete kipicha cha vijumba arobaini hapa leta large coverage tupambane
 
Ohhh safaricom inamilikiwa na kenya ohh sijui GDP😂😂😂😂 ushuzi wa bata even majority ya estates na buildings zinamilikiwa na wageni
 
Back
Top Bottom