komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Eti kibanda cha room tatu nairobi, yani nilichela sanaNishamjibu Mwenzako. Aliniambia nijenge kibanda cha room tatu kama mnavyofanya hapo Dar nikamjibu kwamba sisi hatuna huo mfumo wenu wa dream houses ndio maana hazioni Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app


