Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na government ilihurumia NSIROBI laiti wangepewa fursa na gharama nafuu za ujenzi nairobi ingekuwa jiji la magofu na uchafu zaidi ya hapo ilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
It is already the leading city this side of the Sahara, the most important city in the region. Machozi na chuki zako peleka kwenye dream house yako 😂 😂 😂
 
Huu wimbo tumesikia toka enzi za Nyerere so you are not telling me anything new
Unaleta visingizio hapa eti mm sioni umuhimu wa kumiliki plot nairobi hahaha siuseme wazi huna uwezo huo wakumiliki simple and clear😂😂😂😂😂
 
It is already the leading city this side of the Sahara, the most important city in the region. Machozi na chuki zako peleka kwenye dream house yako 😂 😂 😂
Leading city with slums may be 😂😂😂 munatisha kwa slums duniani
 
hauwezi linganisha sehemu iliyojengeka na sehemu isiyojengeka hata siku moja....
hizo sehemu ziko kibabe sana tofauti na hilo jicho lako chongo linavyofikiri


nairobi ni city village villa park.....ni msituni

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti hii sehemu iko kibabe?? 😱 😱 🤣🤣🤔🤔
Screenshot_20190801-184138.png

Now I see why you call them dream houses
 
hana uwezo wakununua apartment huyo....

na kingine umempa ushauri mzuri sana nijazie tu,,,,ajenge. NBO kisha apangishe kuliko kupoteza mda hapa kwa kujitamba kuwa amepanga kwenye estate,,,,,, utasema yeye ni mtu wa kwanza duniani au nairobi pekee ndiyo ina estate

Sent using Jamii Forums mobile app
Nishamjibu Mwenzako. Aliniambia nijenge kibanda cha room tatu kama mnavyofanya hapo Dar nikamjibu kwamba sisi hatuna huo mfumo wenu wa dream houses ndio maana hazioni Nairobi
 
Na kwann hujiulizi kwann nairobi kuna biggest slums on planet😂😂😂😂😂
Hiyo biggest slum in the world is only 2.5 square kilometres. Dar is 1500 square kilometres and is entirely made up of dream houses in the most disorganized and confused manner. Get the difference. Unplanned areas in Nairobi ni chache sana compared to planned areas while the whole of Dar in one big unplanned settlement
 
Runway lazma wajenge na pia nafkiri kambi ndogo ya jeshi itakuwemo ndani
Kusema kweli siafiki upuuzi huo! Ikulu size ya Dar was ohk! Fedha nyingine wangejenga hata state of the art international conference center (kama ya sandton), state of the art museum kama ile ya Senegal (Museum of black civilization) na state of the art Library kama ya UDSM! State of the Hotels ama state of the art leisure parks pia zahitajika! Kweli mtu mmoja tumjengee mpaka airstrip? Hilo eneo ni zaidi ya campus ya UDOM, for what?
 
Uswazi maana yake ni makazi ambapo nyumba ni nzuri lakini hazijapangiliwa vizuri 😂😂😂😂😂😂👇👇ambako watu wa kipato cha chini huishi View attachment 1397894
So this means that the whole of Dar literally kila mtu ni wa kipato cha chini coz uswazi iko almost everyone. Hizi nyumba mnaita dream houses are virtually everywhere
 
Back
Top Bottom