Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nina wasi wasi na uwezo wa ubongo wako ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡yaani ukishagoogle Dar basi picha zote zinazo kuja ni za Dar ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ivi hii ni dar sehemu gani ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡kama hujui, ujue wewe ndio kubwa jinga humu ๐Ÿ’€View attachment 1397732
Hiyo ni kibera,anasema dar


Aisee wakenya wanatafuta mbaya za tz kwa torch๐Ÿ”ฆ๐Ÿ”ฆ๐Ÿ”ฆ
 
this is kenya nchi yenye maisha mazuri kwa kila mwananchi,,nchi tajiri kuliko zote duniani nchi yenye watu wenye akili nyingi kupitiliza,,nchi yenye wakali kibao wakutoka nduki speed ya ndege,,, nchi yenye nzige bora,nchi yenye makazi bora,, nchi yenye wananchi wasio na shida

yaaani kenya ni boraaaaa kuliko ubora



I LOVE NAIROBI CITY
View attachment 1397842View attachment 1397843View attachment 1397845View attachment 1397846View attachment 1397847View attachment 1397848View attachment 1397849View attachment 1397850View attachment 1397852View attachment 1397853View attachment 1397854View attachment 1397855View attachment 1397856View attachment 1397857View attachment 1397858View attachment 1397859View attachment 1397860View attachment 1397861

Sent using Jamii Forums mobile app
Hzo mashine hapo watakuambia walishabomoa kibera nzma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko huku kikazi I don't need to spend my savings building a house that I will seldom use. Huenda leo niko Nairobi kesho niko kwingine.

Secondly, even if I were to build a house in Nairobi, I wouldn't build a dream house like you've built in Dar. I have higher ambitions Susana
Umejibu makorokocho kabsaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni picha ni ya nyumba moja moja?
View attachment 1397814View attachment 1397816View attachment 1397817
Imagine hiyo ni Kayole, and you call it a "slum" yet these ones below tunaambiwa ni dream houses in middle income estates ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ View attachment 1397818View attachment 1397819View attachment 1397821View attachment 1397822View attachment 1397823View attachment 1397826
Hata kama ndio uzalendo!
Hasa we huoni hizo majengo za Kayole ni kama magofu
 
Hahaha mnakosea sana hapo,Mimi nikijenga mjengo wangu kwetu lengo ni kwenda kupumzika tu nikiwa likizo...siwez staafu kazi nikarudi kijijini ambapo sijawah kuishi kwa zaidi ya siku 30 kwa mwaka...mjini nmeset business,mirija kadhaa y kuingiza kipato, hata nikistaafu sichomoki town budda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa!!ndio manake tunawaambia wachaga ndio watu wanajielewa sana..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumia kuskia watu wanajenga vijijini, kwn unataka watu wajenge uswazi mjini...

Jenga mjengo wa hadhi kwenu, halafu uongezee na rentals juu upige hela hku wewe ukibagi kupiga kazi mjini...siku una staafu hta ukirudi kupumzika unatulia katika mjengo bila stree hku ukila kodi..

Hata wanao wakikusahau utakua umeshajipanga na kashamba kiasi tu ka kujikip busy ukilimalima

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe we wakuja,, ngoja nikuache mruga ruga wakikenya,,,kumbe jiji lenyewe umelivamia....kwenu ni huko njorogo vijijini ndani ndani

ndiyo maana ushamba mwingi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom