Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I know zoom is the only English word you know but don't you think it makes you look stupid using it every other two seconds?
Zoom kwann unapost picha imepigwa mbali sana 😂😂😂 yani mzungu asingeeka kipengele zoom kwenye camera na labda hujui maana ya zoom😂😂😂😂 so mzungu na mitambo yakr yote hakuona slum uone wewe ushuzi
 
this is kenya nchi yenye maisha mazuri kwa kila mwananchi,,nchi tajiri kuliko zote duniani nchi yenye watu wenye akili nyingi kupitiliza,,nchi yenye wakali kibao wakutoka nduki speed ya ndege,,, nchi yenye nzige bora,nchi yenye makazi bora,, nchi yenye wananchi wasio na shida

yaaani kenya ni boraaaaa kuliko ubora



I LOVE NAIROBI CITY
images%20(22).jpeg
images%20(21).jpeg
images%20(19).jpeg
IMG_4075.JPG
images%20(18).jpeg
images%20(17).jpeg
images%20(16).jpeg
images%20(15).jpeg
images%20(14).jpeg
images%20(13).jpeg
images%20(12).jpeg
images%20(11).jpeg
images%20(10).jpeg
images%20(9).jpeg
images%20(8).jpeg
images%20(7).jpeg
images%20(12).jpeg
images%20(5).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_4075.JPG
    IMG_4075.JPG
    274.9 KB · Views: 8
  • images%20(15).jpeg
    images%20(15).jpeg
    25 KB · Views: 7
Uko hapa kupost nn hvi ww ungekuabunamiliki gari unafkiri tungelala humu 😃😃😃 acha kudharau watu kabisa tena hasa mtu humjuii
I already told that am too mature for that Ichoboy. Even if I owned the moon, I wouldn't go posting it here. Those are characters of dunders like you
 
Kama mlikuwa mnajua ni Manzese mbona basi mlikuwa mnaikataa? Na sio hiyo pekee yake. Mlikataa picha nyingi sana za Dar until you could deny no more
ndiyo ujiulize sasa kwanini picha nyingine tuzikubali na nyingine tuzikatae...?
hauhisi labda kama kuna something wrong....?

kwa hali ya kawaida tu mzee wa akili nyingi hebu jiongeze ziamshe tena hizo akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahah matured kma collo mzii anamiliki techno anadanganya anamiliki iphone 7 sifa za kipuuzi ndio urithi kenyatta aliwaachia
halafu hawa wakenya walio humu jamii forums wengi ni matope sana ni wale ambao wanaujobless flan ivi,,,unakuta mtu anakuambia kajenga nyumbabkijijini wakati hata hajaulizwa ni wanamawenge sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha! nishasema unauwezo wa kupanga tu fullstop! but huna uwezo wa kujenga wala kununua nyumba yangu hata nikikupa 50%discount!
Hiyo dream house yako ukinipa 50% off si nitachukua kwa Shilingi elfu moja! Anyway, thanks for your kind gesture, I don't need a dream house though
 
Vp Nairobi huwez kujenga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko huku kikazi I don't need to spend my savings building a house that I will seldom use. Huenda leo niko Nairobi kesho niko kwingine.

Secondly, even if I were to build a house in Nairobi, I wouldn't build a dream house like you've built in Dar. I have higher ambitions Susana
 
Niko huku kikazi I don't need to spend my savings building a house that I will seldom use. Huenda leo niko Nairobi kesho niko kwingine.

Secondly, even if I were to build a house in Nairobi, I wouldn't build a dream house like you've built in Dar. I have higher ambitions Susana
Short and clear huna uwezo wa kumiliki ardhi wala kujenga nairobi siuseme hvo kwann unazungusha maneno mengi sana😂😂😂
 
Hahaha anahangaika kutafuta slums 😂😂😂 unajua kwann anatafuta kisa tufanane ushuzi
Of course hatuwezifana. Niletee picha moja kama hii kutoka Nairobi ndio nijue tunafanana
Screenshot_20190801-184138.png
 
Short and clear huna uwezo wa kumiliki ardhi wala kujenga nairobi siuseme hvo kwann unazungusha maneno mengi sana😂😂😂
Uwezo ninayo na akili pia ninayo. Wewe mwenye uwezo mbona uliishia kujenga uswazi jijini?
 
Back
Top Bottom