Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha mnakosea sana hapo,Mimi nikijenga mjengo wangu kwetu lengo ni kwenda kupumzika tu nikiwa likizo...siwez staafu kazi nikarudi kijijini ambapo sijawah kuishi kwa zaidi ya siku 30 kwa mwaka...mjini nmeset business,mirija kadhaa y kuingiza kipato, hata nikistaafu sichomoki town budda

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo jamaa ni wakuja aliivamia nairobi achana na mruga ruga huyo,,,,,

hajui kama watu wanajenga mjini pia wanajenga kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar mtaa gani 👇😂😂😂
2347363_90AC93D5-C379-42DE-A740-CD210FC6C2DD.jpeg
 
Wanatafuta wateja kwa complementary 😂😂😂😂👇👇👇 lasivo watarudi na abiria wawili

 
Naona anangaika kuokota okota picha ovyo sijui za wapi toka asubuhi 😂😂😂
Inaonekana sindano anazopigwa humu zinafika penyewe.
Dozi anaipata kweli kweli. Yaani ukishaanza kumuona mtu anapata hasira hivyo uje dawa inafanya kazi
 
Back
Top Bottom