Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbna hii hifanani na hyo na bado hatuja zoomView attachment 1397930

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli enhh😂😂👇👇👇
F6AAC536-B0A0-4A7F-9572-7850DB10107C.jpeg
 
halafu hawa wakenya walio humu jamii forums wengi ni matope sana ni wale ambao wanaujobless flan ivi,,,unakuta mtu anakuambia kajenga nyumbabkijijini wakati hata hajaulizwa ni wanamawenge sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaumia kuskia watu wanajenga vijijini, kwn unataka watu wajenge uswazi mjini...

Jenga mjengo wa hadhi kwenu, halafu uongezee na rentals juu upige hela hku wewe ukibagi kupiga kazi mjini...siku una staafu hta ukirudi kupumzika unatulia katika mjengo bila stree hku ukila kodi..

Hata wanao wakikusahau utakua umeshajipanga na kashamba kiasi tu ka kujikip busy ukilimalima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshaanza mayowe...sawa uko kikazi n all that,huoni kua na kibanda Nairobi ni fursa kuliko uko shambani kwenu ulikojenga (sidhani kama ni kweli)....Mimi binafsi nakushauri ujenge Nairobi kibanda cha room tatu cha wastani maana uko baadae ndio hali itakuwia vigumu zaidi maana plot zinapanda bei sana...
Kama kujenga huwezi basi fanya unavyofanya ununue apartment yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kibanda cha room tatu nairobi basi si utaishia katika category ya kwenye slums...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just the same way you survive here Mr geography View attachment 1397761
Unakumbuka zile enzi ulikuwa ukisema hizi picha ni za Congo na Nigeria?
Kwakweli niwe muwazi, Dar kuna sehemu nyng hazipo planned na mm huwa najiuliza mipango miji kazi yao ilikuwa nn, ila haijafika huko yn hapa Dar hakuna sehem km hyo na ukiprove hapa kwmb hyo ni Dar ctakuwa na cha kufanya zaidi ya kufunga account JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom