komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ndio ujue hapo ni dar, kwn hukioni kibanda cha brtKwakweli niwe muwazi, Dar kuna sehemu nyng hazipo planned na mm huwa najiuliza mipango miji kazi yao ilikuwa nn, ila haijafika huko yn hapa Dar hakuna sehem km hyo na ukiprove hapa kwmb hyo ni Dar ctakuwa na cha kufanya zaidi ya kufunga account JF
Sent using Jamii Forums mobile app



Sent using Jamii Forums mobile app


