The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ukimaliza kuongea huu upupu usisahau kwmb hakuna billionaire hata mmoja Naipori, oohh sorry Nairobi.Ndugu, usilazimishe tuwe kama nyinyi, just the same way hamuwezi kuwa kama sisi. Sisi mfumo wa dream houses hatuna. Nyumba kama hizo ulizoleta hapo juu (za wamiliki) zimejaa Nairobi. Nenda Ruai, Syokimau ama Utawala kwa mfano. Utapata kwamba nyumba za kupangisha zipo ila ni chache ukilinganisha na wanaomiliki nyumba. Most houses there are homes owned by developers themselves.
Halafu kitu kingine unafaa kufahamu kuhusu Nairobi ni kwamba hata hizo apartments unazoona, kuna za kuuzwa pia so sio kila mtu anayeishi kwa apartment building ni tenant. Wengine ni wamiliki.
The point is, ukipata mtu anamiliki nyumba Nairobi, it is a decent house, not those squalors of yours that you call dream houses.
Take a look at Ruai below. Most houses here are owned by those who developed them. Compare with your dream houses that you own with so much pride View attachment 1394980View attachment 1394981View attachment 1394987View attachment 1394988View attachment 1394990View attachment 1394991
Sent using Jamii Forums mobile app


ni mgeni humu
