Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unapost ma picha za kibera kusema ni darπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
01816B96-348A-4A07-A1EA-37F9BCAFF2FD.jpeg
 
Bingwa wa kuhesabu floors kakimbia baada ya kumpa dawa za kutosha kuhusu GTCπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yuko wapi muite basi
Hiyo dawa uliompa ni gani? Ile ya kuongeza floors zenu na kupunguza zetu ama kuna nyingine?
 
Hzo nyumba zote zilishabomolewa ziko pembezoni mwa mto msimbazi hapa utkubali tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ jangwani


Na hizi mtabomoa lini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Screenshot_20200320-171122.png
Screenshot_20200320-171048.png
Screenshot_20200320-170923.png
 
Back
Top Bottom