Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just the same way hata sisi pia hatuna akili ya kujenga dangura niite dream house kisha nijione mfanikiwa. Nyumba tunajenga vijijini kaka. Na kwa walio na uwezo wa kumiliki nyumba jijini, they buy decent houses, not squalors Kama hizo za Dar. Mbona huelewi?
Hakuna mkenya ana uwezo wa kumiliki nyumba,only you can own ni zile vibanda za mabati..kwa unataka kusema nairobi mmemuachia mchina na mhindi ajenge,ila nyie wakenya mmekimbia mji hadi ushago..you ar so funny
 
Hiyo picha ya Kwanza iliyoandikwa Temeke unaona bahari mahali? Ama leo hujala ile mchuzi wako unayopenda?
Hio picha ni pemben ya bahari we mpuuzi sana wewe ndio maana nakwambia hutapata slum in dar mpaka yesu ashuke😂😂👇👇 na alieandika temeke ni ndugu yako bogus wewe
AF1D8C2F-12C8-4A01-AD63-EFDFB3EF2A82.jpeg
 
Mamaeee munaleta slums zenu wenyewe munatuambia dar 😂😂😂😂 unafkiri mzumgu mpuuzi sana asione slum uone wewe
Kwa hivyo mzungu ni Mungu? Look at how this bongolala is reasoning!
 
Back
Top Bottom