Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaniletea screenshot ya performance yet ukiulizwa about the same performance Umehepa. I asked you about the minimum score to get grade A in Tanzania na hutaki kujibu. What could be more important about performance than the score one gets? For the a millionth time, what is the minimum score in Tanzania for one to get grade A?
In what levels grading system zinavary with educational level

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What JKUAT is advertising is Diploma and advance study in Medicine. As you can see degree is the first Roman and it's parallel. For direct students you can't do medicine with B+.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ukilaza hio advert ni ya bachelor.

Ila entry requirement ndo zimegawanyika katika namna tatu

From KCSE ,from advanced level na from diploma

Kama una akili timamu Utaona. Kuwa mnachukua 2 principal passes na subsidiary yaani MTU mwenye (DDE)
Kwenye science subjects.

Kwenye KCSE ndo average of B+.
Hadi hapo unaona a difference in levels

Sasa nikuambie pata ur straight As in Kenya KCSE ukija TZ hauingii university bachelor lazima uchague mawili usome advance level au uanze diploma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya secondary inaanzia wapi na inaishia wapi and what do students major on?
Yes advanced level unakuwa na masomo matatu tu (fundamental) na LA NNE general study kwa wote.

Mfano Form four umefanya masomo yana vary from 7- 12 depending on the school policy kuna shule zinafundisha bible knowledge,French na masomo ya ziada.

However advanced level una major in a few of them mfano.

PCB ( physics, chemistry biology) + General study and basic math

Pcm ( physics, chemistry and pure mathematics ) +General study
CBG ( chemistry, geography, biology) + Basic math and general study.

And more ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana huwezi compare a Kenyan ordinary level student to an A level student in Tanzanuavthat is blasphemy.

Let me tell you teargass personally nimesoma in both systems so huwezi nidanganya nimesoma Kenya and najua your system vizuri tu and nimesoma Tanzania.

I will tell you this Kenyan students are very superior to Tanzanian students ( or graduates in this matter) in matters of expressions and in studies concerning arts,history and business.

But when it comes to Science and i mean natural science Tanzania is very superior to Kenya. Na nikuambie isingekuwa anonymity ningekuambia jina langu na some of the Kenyans nimestudy nao unajua mnazingua System iko easy Sana has a kwenye science nilipata shida sana Ku adapt nilivorudi huku coz I found vitu so tough but fortunately as long as your intelligent you can adapt to any system.

Kupata straight A kwenye advance level Tanzania sio easy kama kama kupata vi straight A KCSE actually its way easier kama ulishindwa siwezi judge you but don't take it as a reference cha any ugumu in ur system

Sent using Jamii Forums mobile app
waambie hao system ya education yao ipo easy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni fursa nzri ya dar port na tanga port

FE38AE80-5418-4FD3-9DAB-C58DB27A9E39.jpeg
 
Ubora wa barabara kwa report ya mwaka 2019 tuko bampa to bampa au wewe unaishi dunia ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia yako ya kutapika ujinga hujaiacha?

Top 10 African countries with quality roads
News / By Dianne Myles
Top 10 Africa January 8 at 6:43 pm
Top 10 African countries with quality roads

  1. Namibia (score 5.2) world ranking 23
  2. South Africa (score 5.0) world ranking 29
  3. Rwanda (score 5.0) world ranking 31
  4. Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
  5. Mauritius (score 4.7) world ranking 44
  6. Morocco (score 4.4) world ranking 55
  7. Kenya (score 4.2) world ranking 61
  8. Botswana (score 4.1) world ranking 6
  9. Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
  10. Senegal (score 4.0) world ranking 71
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
 
Hua sina muda wa kupika hata mboga yangu tu yakula ndio iwe data?
tapatalk_1584357353165.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tabia yako ya kutapika ujinga hujaiacha?

Top 10 African countries with quality roads
News / By Dianne Myles
Top 10 Africa January 8 at 6:43 pm
Top 10 African countries with quality roads

  1. Namibia (score 5.2) world ranking 23
  2. South Africa (score 5.0) world ranking 29
  3. Rwanda (score 5.0) world ranking 31
  4. Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
  5. Mauritius (score 4.7) world ranking 44
  6. Morocco (score 4.4) world ranking 55
  7. Kenya (score 4.2) world ranking 61
  8. Botswana (score 4.1) world ranking 6
  9. Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
  10. Senegal (score 4.0) world ranking 71
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
Teargass ji update ..ji update

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom