Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heri kupangisha mjini halafu kwetu kijijini niwe na mjengo wa maana, kuliko kuishi uswazi mjini kisha ukienda kijijini ukalale kw nyumba ya bibi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
I have already told them that. Watu wanamiliki uswazi Dar kisha wanaona mmefanikiwa sana maishani 😂 😂
I would rather rent an apartment than build a squalor in Nairobi and be proud of it. Sisi tunajenga upcountry
 
I have already told them that. Watu wanamiliki uswazi Dar kisha wanaona mmefanikiwa sana maishani 😂 😂
I would rather rent an apartment than build a squalor in Nairobi and be proud of it. Sisi tunajenga upcountry
You would rather rent...!!!?!
..unaona poa tu kuishi kwa nyumba aliyojenga mwanaume mwenzio..hakuna mtz mwenye hiyo akili you think like a little man..very sorry
 
🤝🤝🤝🤝🤝8b usd


Mr broken English!
Woooow..."wanna met me".. broken English always....you boy👇👇👇
Piteni kimya kimya
Eldoret town 😁😁😁😁 Hata Dark Es Sluum haina Kama hii 😂😂😂😂
Wenye wivu watokwe povu
Screenshot_20200321-135158.png
Screenshot_20200321-135214.png
Screenshot_20200321-135222.png
 
Some education for your fiddle mind,gimme (give me)wassup(what is up) Wanna(want to)Gonna(going to) all these are called reductions (reduced forms of words).Hope u’ve learnt something clown!
Maaaaan
We all know "wanna=want to".....but when we say wanna,the following verb should not be "met"
You should say "wanna meet" not "wanna met".. that's free education for you, but I won't blame you...😦😦🤣
 
Tutaelewana tu, afu uniambie wanaojenga hawa utawalinganisha na mnaoita middle income kwenu na wamepanga kwenye Estates (zingine ni estate uchwara)!! View attachment 1394677View attachment 1394651
Ndugu, usilazimishe tuwe kama nyinyi, just the same way hamuwezi kuwa kama sisi. Sisi mfumo wa dream houses hatuna. Nyumba kama hizo ulizoleta hapo juu (za wamiliki) zimejaa Nairobi. Nenda Ruai, Syokimau ama Utawala kwa mfano. Utapata kwamba nyumba za kupangisha zipo ila ni chache ukilinganisha na wanaomiliki nyumba. Most houses there are homes owned by developers themselves.

Halafu kitu kingine unafaa kufahamu kuhusu Nairobi ni kwamba hata hizo apartments unazoona, kuna za kuuzwa pia so sio kila mtu anayeishi kwa apartment building ni tenant. Wengine ni wamiliki.

The point is, ukipata mtu anamiliki nyumba Nairobi, it is a decent house, not those squalors of yours that you call dream houses.

Take a look at Ruai below. Most houses here are owned by those who developed them. Compare with your dream houses that you own with so much pride
Screenshot_20190817-111713.png
Screenshot_20190817-075552.png
Screenshot_20200321-140127.png
Screenshot_20200321-140016.png
Screenshot_20200321-135941.png
Screenshot_20200321-140039.png
 
umempa msumeno wa swali zuri sana.......

na akae akijua kuna watu kuanzia babu zao wamezaliwa town kivipi wakajenge kijijini wakati baba zao walishajenga...
nakingine watu huku wanajenga kote kote wakenya ni washamba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekasirika kweli. Kwa hivyo hata wewe pia unamiliki dream house? 😂 😂 😂
 
I have already told them that. Watu wanamiliki uswazi Dar kisha wanaona mmefanikiwa sana maishani
I would rather rent an apartment than build a squalor in Nairobi and be proud of it. Sisi tunajenga upcountry
Wajinga sana hao jamaa..
Mtu akiwa na kibanda uswazi basi anajikuta katusua..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom