tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Locusts hawana huruma maana Turkana yenyewe bila locusts njaa haishi . Sasa itakua hatari kabisalocust wamefika turkana sasa![]()
They lack to be called houses that's why they are slumsThose are slums and they are not arranged, just like your uswazi hovels that cover three-quarters of your city
Still 99% wanaishi kwenye hizo estates wamepanga unataka ulinganishe na waliokwenye nyumba zao? 😁😁Just the same way you can't compare the living condition of a person living here
View attachment 1394101
Against the living condition of another person living here.
View attachment 1394103
The difference is like day and night
hebu zoom tuone vzr 😃😃😃😃😃Dream houses in their nakedness kushoto kulia. 15 years ago 😂 😂 😂 View attachment 1394030View attachment 1394031View attachment 1394032
HapanaHivi ile 8 lanes yaani Kibaha highway inaanzia Ubungo mataa??
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Ukimsikiliza mwingereza, anasema wako kwenye delay phase, ukifuatilia kwa undani hiyo delay phase wanamaanisha kuchelewesha maambukizi hadi ifike summer, wanaamini kipindi hicho virus atatokomea tu kulingana na hali ya hewa.Na huu ndyo ukweli ninaoujua mm, but kwakuwa matajiri wa dunia wanataka iwe hofu dunia nzma bac acha tuwasikilize.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well explained bro, ingawa kuna wanaopinga ila watakaa kimya tu watakavyoshuhudia. mtoto wa kiafrica anaugua mafua anaenda kucheza na kamasi likimdondoka, au maofisinihuoni watu wanavyoenda ilhali wanamafua na wengine hadi sauti zinafifia. Ila umwa mafua kwa wazungu halafu uende ofisini uone kama hawajakuona mchawiUkimsikiliza mwingereza, anasema wako kwenye delay phase, ukifuatilia kwa undani hiyo delay phase wanamaanisha kuchelewesha maambukizi hadi ifike summer, wanaamini kipindi hicho virus atatokomea tu kulingana na hali ya hewa.
Lakini hutasikia wanasema hali ya hewa na genetics inatufavour watu weusi lakini hili hawatalisema zaidi ni kututia hofu.
Hizo nchi zenye Corona watu weusi wapo na wengine wanaugua ila wanarecover na mara nyingi ni bila hata kujijua kwamba ulikuwa nayo, sijasikia mtu mweusi amekufa kwa Corona na kama yupo huyo alikuwa na tatizo la ziada kiafya.
Corona hii haipishani Sana na mafua, na mafua yanaua Sana wazungu tofauti na sisi, ni ajabu Sana kusikia mtu mweusi kafa kwa mafua.
Corona anaua watu wenye matatizo ya ziada, ndio maana vifo si vingi kwa watoto, wazungu wengi huishi kwa madawa, sasa
Ukimwongezea na corona
It doesn't matter where you see it from. The fact is that imezungukwa na uswazi
Really??? Did you know that slums are also referred to as informal settlements?Go to mathare and Kibera, I've said that slums do not fit to be called settlements but we have no other term we can use to define them 😂😂😂
What do you even mean by that?They lack to be called houses that's why they are slums
Afadhali nipangishe kuliko kumiliki squalor na nijivunie eti niko na nyumba. Tunamiliki nyumba zetu ushagoo (vijijini). Nairobi tuko kikazi, hatuko huko kujenga uswazi ndio tuonekane tumefanikiwa maishani.Still 99% wanaishi kwenye hizo estates wamepanga unataka ulinganishe na waliokwenye nyumba zao? 😁😁
Usifikiri tanzania ni ndogo kiasi hicho hao unao waona either ni wamombasa wa tanga au watanga wa mombasa si ajabu kuona gari za kenya hapa tanga soko la mgandini wakifanya shopping then jion mtu arudi zake mombasa hawa ni ndugu, inshort huwezi kuta kanga za kenya hukuHahaaaaa!!mbna imewaumiza hvo kwel, na bado mashangingi ya kibongo utayakuta na mirangi yao ya mikorogo wakichukua mizigo ya khanga na madera mombasa...
Ukwel mchungu aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu zilizopimwa DAR ziko nyingi sana nje ya mji na ndiko watu wengi wanajenga...hayo maeneo ya zaman kama tandale ,manzese,mabibo,mburahati,keko, mbagala ,gongolamboto,mwananyamala yasikupe homa bure. ...Afadhali nipangishe kuliko kumiliki squalor na nijivunie eti niko na nyumba. Tunamiliki nyumba zetu ushagoo (vijijini). Nairobi tuko kikazi, hatuko huko kujenga uswazi ndio tuonekane tumefanikiwa maishani.