Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kwasababu Nairobi ni kaduchu compared with the giant dar es salaam, ni sawa na mtz akajenge kijumba chake posta, lkn nyie nyumba mnajenga ushagoo manaake umbali kdg kutoka Nairobi ni bush ila co kwa dar, jiji zima ni mjini af ni kubwa sn yn ukisema dar manaake ni mjini tofauti na nyie ukitoka Nairobi kdg tu ni pori (ushagoo) that's the case.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ujivunie ukubwa wa eneo wakati three-quarters yake ni uswazini with nothing much going on? Dar ni kubwa kieneo but yote ni dream houses tupu. Na huo ukubwa wake wote, Nairobi which is smaller is ahead of it politically, economically, socially and is still the most important city this side of the Sahara. Huo ukubwa sasa unasidia Dar nini?
 
Mbona ujivunie ukubwa wa eneo wakati three-quarters yake ni uswazini with nothing much going on? Dar ni kubwa kieneo but yote ni dream houses tupu. Na huo ukubwa wake wote, Nairobi which is smaller is ahead if it politically, economically, socially and is still the most important city this side of the Sahara
Kuna kitu nmemaanisha just read between the lines u will get my point.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww subiri mkuu hii Ni tz mpya tz ya viwanda ss watajua pa kupata raw materials

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ya viwanda indeed! 😂 😂 😂 😂
1849697_SERIKALI_YA_VIWANDA_BONGO.jpg

You bongolalas never cease to amaze
 
mim naona huu ugonjwa tayar upo na umewapata wengi ila tumedunda kama kawaida mtaani.. wale wa mipakan au airport ndo haswa wanajulikana kwa kutumia vile vipimo.. pia naamin hatukuwa na haja ya kufunga shule na mavyuo.. tungeendelea tu na maisha ya kawaida.. wazungu tu ndo wameu over hype huu ugonjwa
Una mawazo kama yangu sikuona sababu ya kufunga shule, siasa tu ndio maana serikali imeufyata ili watu wasijichukulie credit.
 
Usifikiri tanzania ni ndogo kiasi hicho hao unao waona either ni wamombasa wa tanga au watanga wa mombasa si ajabu kuona gari za kenya hapa tanga soko la mgandini wakifanya shopping then jion mtu arudi zake mombasa hawa ni ndugu, inshort huwezi kuta kanga za kenya huku

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa zile group za insta na facebook kuhusu madera na khanga kutoka mombasa zinawahusu watu wa tanga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa zile group za insta na facebook kuhusu madera na khanga kutoka mombasa zinawahusu watu wa tanga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL yaani kagroup cha insta ndio suppliers wa watanzania millions?, kwanza hiyo page yenyewe sio ya mtanzania, ni Mkenya mwenzenu, kisha Tanzania inatumia vitenge zaidi kuliko kanga
 
ndo Mana mzungu anakuita cz hujiamini pia huna character za kuwa human being, hv ushawahi fny analysis ni watu weusi wngp mpk ss wamekufa kwa huo ugonjwa wakiwa hapa Africa, u monkey hata analysis ndogo km hyo inakushinda unabaki kuogopa ogopa tu km mbwa koko, hv unadhani ww unaweza kudhibiti huo ugonjwa usiue maelfu ya wenzio pale kibera? Au unadhani unaweza kuuzuia huo ugonjwa usi spread sn km China? Jiulize af upate jibu acha uvivu wa kufikiri, tunatishwa sn kuliko ilivyo kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una mawazo ya kijinai alafu we ni fala Kama akina geza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri kupangisha mjini halafu kwetu kijijini niwe na mjengo wa maana, kuliko kuishi uswazi mjini kisha ukienda kijijini ukalale kw nyumba ya bibi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaelewana tu, afu uniambie wanaojenga hawa utawalinganisha na mnaoita middle income kwenu na wamepanga kwenye Estates (zingine ni estate uchwara)!!
mbagala-suburbs-area-dar-es-260nw-1056184313.jpg
mbagala-suburbs-area-dar-es-600w-1056184316.jpg
 
Back
Top Bottom