komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Khanga zenyewe mnanunua mombasa, halafu unakuja kujisifia ustaarabu hapaMngekuwa na akili kama mngedumisha utamaduni wa asili ya makabila "yenyu". Sasa ukabila "wenyu" unafaida gani kama hauna ustaarabu.
Sisi Tanzania tunaustaarabu unaong'aa mpaka nje ya mipaka yetu, mfano uvaaji wa khanga, michoro ya tinga tinga, vinyago vya kimakonde, nyimbo za kigogo, utamaduni wa Zanzibar, bongo flava, singeli, kiswahili n.k
Sent using Jamii Forums mobile app

