Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni lini utaanza kuelewa hata kizungu rahisi kama hizi? That center will cater for the whole of Africa, Kenya is just a host nation. China is building it for Africa, not Kenya. Uko na tabu Sana Mr. Geography
Hapo umemlaumu ichoboy bure, hzo comments ni za ndugu zako wakenya, so ilipasa uwafate kwa hyo page uwachane kwmb hawaelewi kizungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubepari ndio Umewafny muishi maisha ambayo nguruwe anaishi alaf unatupigia kelele hapa. Unatupigia kelele hata robo ya ardhi humiliki alaf unjimwambafay huku jamii forum ukidhani we mboga saba wakat unashindia githeri na chan'gaa usituletee ujing Wako apa huu uzi umeukutaa kama umeshindwa tembeaa we vip mbna wenzakp hawana reaction za kikuda hivyooo unapo pingwa kwa hoja jibu kwa hoja. Na kujua kingereza sio ndio kumalza kila kituu. Mna shida mpka kweny vyupi mkija uku kelele mtafikri maisha boraa...
Wewe mtu unayekodisha ardhi kutoka kwa serikali tukufu ya sisiemu unamiliki nini zaidi ya underwear moja iliyoraruka?
 
Kuna vimtu vinajipa matumaini kuwa tutafeli kuindesha sgr ya umeme. Ukiacha bwawa la nyerere MW 2115, bado hatujamalizana na uzalishaji wa umeme wa gas + coal:
While Kinyerezi I's capacity is being increased to 335 megawatts by February 2019, the government of Tanzania is also in process of expanding Kinyerezi II to the full 240 megawatts. There are other plans to build two new gas-fired plants; Kinyerezi III (600 megawatts) and Kinyerezi IV (450 megawatts), to bring total capacity at the Kinyerezi complex to 1,625 megawatts.
Note: MW 1,625 ni Kinyerezi pekee: Kinyerezi I Thermal Power Station - Wikipedia, huku Kinyerezi II 240 megawatts ikiwa tayari ishakamilika

Mwenye sekunde chache asome hii plan iliyowekwa mwaka 2017, atakaepata report kamili ya miradi ya umeme iliyokamilika atatujuza ila mpaka sasa tayari tunazalisha zaidi ya MW 1750
 

Attachments

2281059_kilimani.png
 
You have just confirmed that you don't know what you are talking about. Have you done any research on how much electricity Tanzania will need to run its electric trains on an uninterrupted basis?
Unataka kusema wanaoendesha Mradi huwajui wanalolifanya that qn should goes to TRC and ccm gov...itakua maajabu sana mradi ukikamilika alafu ndio wagundue umeme hautatosha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni lini utaanza kuelewa hata kizungu rahisi kama hizi? That center will cater for the whole of Africa, Kenya is just a host nation. China is building it for Africa, not Kenya. Uko na tabu Sana Mr. Geography
Sio mm soma comment za ndugu zako ndio nachocheka mm yani mchina kaifanya kenya kama colony lake😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom