Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wapumbavu huwa wanatuaibisha sana kimataifa kwa kutajataja neno Africa. Centers kama hizo hapa TZ tunaweza kuzijenga hata kila mkoa
Mbona hamjajenga? Na nani ametaja Tanzania? Kwani inawauma sana hamieni muende Asia 😂 😂
 
Leta evidence METL is the largest textile producer in sub saharan Africa! Even the Tshirts u wear come from Tanzania!



DCmgh-tXsAA7d0c


DCmgh9_XUAE7EM2
Km hujui kitu kaa pembeni, watanzania khanga wanatoa mombasa bana...hzo unazozizungumzia hazifiki quality ya maana...

Wenzenu hufungua mpaka ma group
Screenshot_20200320-161854_Opera%20Mini.jpeg
Screenshot_20200320-161754_Opera%20Mini.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hamjajenga? Nairobi nani ametaja Tanzania? Kwani inawauma sana hamieni muende Asia 😂 😂
Mnaboa sana, kama raisi wenu anaenda kuomba msaada kwa wazungu badala ya kuiongelea nchi yake anaiongelea africa. Sio waafrica wote wanaohitaji kuwalamba miguu wazungu ili wapate kusurvive. Ongeleeni kuhusu nchi yenu msihusishe jina la Africa kwenye dhiki zenu. Ndio maana unaona nchi kama nigeria, south na TZ wanawasuta kwasababu ya shobo zenu
 
Don't talk of 15 years back wakati current Google earth images still show those dream houses in virtually all areas of Dar.
Get the point please! and may you bring here those Google Earth images! usilete zile unazoleta daily humu na images ziwe clear that we can have evaluations over them
 
Mnaboa sana, kama raisi wenu anaenda kuomba msaada kwa wazungu badala ya kuiongelea nchi yake anaiongelea africa. Sio waafrica wote wanaohitaji kuwalamba miguu wazungu ili wapate kusurvive. Ongeleeni kuhusu nchi yenu msihusishe jina la Africa kwenye dhiki zenu. Ndio maana unaona nchi kama nigeria, south na TZ wanawasuta kwasababu ya shobo zenu
This is what ignorance does to a brain, especially if one is a bongolala. You start talking without substantiating facts from friction then you let your emotions override your ability to reason. Worse still, you don't even take a minute to research on a subject before laying bare your ignorance.

Africa chose Kenya, Kenya did not go begging for Africa. They came calling and we only responded to their calls. Iwinjo?
PhotoGrid_1584712283285.jpg
 
Kwa hiyo hufahamu the difference between unplanned settlements and slums!? Cha kukusaidia know that slums do not fit to the term settlements, they are the worst environment in which a normal human being can survive
Can you define what a slum is then do the same for unplanned settlements?
 
Back
Top Bottom