Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,365
- 1,006
Ugonjwa wako wewe inaonekana haujapona, et squalors!! Nimekuambia ingia Google Earth ulete images za makazi mapya tuone lakini umeleta zile zile za tandale na manzese zilizo jengwa 30yrs ago (consider the rust on roofings) then tungelinganisha ubora wa makazi na hizo estates zenu ambazo nyingi ni poor qualityAfadhali nipangishe kuliko kumiliki squalor na nijivunie eti niko na nyumba. Tunamiliki nyumba zetu ushagoo (vijijini). Nairobi tuko kikazi, hatuko huko kujenga uswazi ndio tuonekane tumefanikiwa maishani.