Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

She's out there lookin' hot
Snapchat-1210408452.jpg
20200311_170920.jpg
20200311_170923.jpg
 
Hapo wangeongeza walau bawa moja la kati ili iwe rahisi kuweka mabawa ya pembeni miaka ijayo pale upanuzi utakapohitajika kama hii 👇
View attachment 1386444
tunajenga kutokana na mahitaji Dodoma yenye watu wasiozidi 700,000 huwezi kuijengea uwanja wa kuzidi PAX 1.5 mln per year! Lets be frank, ila huo uwanja wa Dodoma una nafasi ya kupanuliwa! hata kuweka hizo wings! Turindike na tunachofanya sasa!
 
Hiyo desine mbaya sana ya uwanja inabidi magufuli kuchukua hatua kuna kitu nyuma ya pazia la ubunifu wa michoro kutakuwa kuna fisadi papa kashikilia hiyo nyanja ni lazima tujue hizo ramani za ujenzi zimepitaje pitaje

Sent using Jamii Forums mobile app
i find it ohk kwa kuzingatia fedha zinazotumika! au unataka tuweke dude kama hili? a congrete garrison/jungle design hii?

Attachment-13-Copy.jpeg
 
Hiyo desine mbaya sana ya uwanja inabidi magufuli kuchukua hatua kuna kitu nyuma ya pazia la ubunifu wa michoro kutakuwa kuna fisadi papa kashikilia hiyo nyanja ni lazima tujue hizo ramani za ujenzi zimepitaje pitaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakaje kwani kaka, Design ya kiwanja cha Msalato iko poa tu,na imepita kwny mikono ya wakubwa wote,shida watu wa wengi walitegemea Dodoma kutakuwa na vitu vikubwa vikubwa tu, kuna kitu kinaitwa economic viability....kwa sasa na miaka kadhaa ijayo Dodoma inahitaji Terminal Building ya size hiyo
tunajenga kutokana na mahitaji Dodoma yenye watu wasiozidi 700,000 huwezi kuijengea uwanja wa kuzidi PAX 1.5 mln per year! Lets be frank, ila huo uwanja wa Dodoma una nafasi ya kupanuliwa! hata kuweka hizo wings! Turindike na tunachofanya sasa!
Uko sawa Geza tatizo watu wali expect Dodoma itakuwa na mavitu makubwa makubwa bila kufikiri maswala ya economic viability....Hiyo Terminal iko poa na ndio inayohitajika kwa sasa na miaka kadhaa ijayo,kikubwa ni kuhakikisha iwe na facilities za hali ya juu tu.
 
Back
Top Bottom