Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duuuu wakenya wachafu sana mna matatu kacha ambayo asili yake ni uchafu uchafu wa slum na sasa mmeanza kujenga majengo yenye kacha za slum sasa ilo jengo lenye kufanana na kimbaa ( kinyesi ) ktk ya mji ndiyo nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuhusu hayo mapanzi yao wanayoyaita matatu wanachekesha sana wanavyoyaita culture yao wakati india yanatumika tokea zamani tena kwa safari za vijijini:

 
ES2c7P5XgAglIDd
 
Tatizo siyo idadi hapo mnatakiwa kuangalia move yetu ilivyo kubwa kutoka kuwa nchi ya 3 duniani 1995-1999 hadi kuwa kwenye nchi kumi bora Africa katika kila sekta sasa angalia hiyo speed kisha uniambie ni nchi ngapi duniani imeweza kwenda kwa hiyo speed hadi ichaguzi wa Kenya ufike 2022 Tanzania itakuwa mbali kwelikweli sijui kama wakenya kwenye huo uchaguzi amta toana roho kwa sababu ya uchungu wa kuachwa vibaya na tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kila sekta? 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom