diamond d
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 812
- 2,049
Hiyo desine mbaya sana ya uwanja inabidi magufuli kuchukua hatua kuna kitu nyuma ya pazia la ubunifu wa michoro kutakuwa kuna fisadi papa kashikilia hiyo nyanja ni lazima tujue hizo ramani za ujenzi zimepitaje pitaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu we jamaa umeongea kitu nilichotaka kusema na mimiii aisee bado hii sector, Kwa hili nawapenda wakenya wanajitahidii aisee
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
