ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ndo huu uchafu🤣🤣🤣🤣Mini city nyingi Nairobi, hapa ni downtownView attachment 1384806
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo huu uchafu🤣🤣🤣🤣Mini city nyingi Nairobi, hapa ni downtownView attachment 1384806
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasema hvi😀😀😀👇👇👇Google inasema hivi wewe kilazaView attachment 1384865View attachment 1384867
Sent using Jamii Forums mobile app
anaendesha hili gari atakuwa mwasitiakili zake anazijua mwenyewe





Endelea ku zihifadhi hizo picha uje uwaonyeshe wajukuu wako...Hio ndio green city under the sun wakija hapa nye nye nye wakiletwa kwenye ground wanaliaCBD
View attachment 1384345View attachment 1384346View attachment 1384347
View attachment 1384350View attachment 1384353
Mbna barabara za kawaida sananimetembea arusha leo baada ya kutoka mwezi wa 9 ila this city ina transform fasta miezi mitano ila unaweza potea kamaa izi building za 10+ floor na 9 floor zimekuwa haziesabiki ila 14+ building zinaweza fika 5 nazani View attachment 1384511View attachment 1384512View attachment 1384513View attachment 1384514
Sent using Jamii Forums mobile app
Millionaires wa dar huaga wanapangisha kwenye appartments..Anauliza millionares wanaishi wapiView attachment 1384650View attachment 1384651View attachment 1384652View attachment 1384653
Hzo ni nyumba wanaomiliki alaf wanazipangisha wao wananyumba zaidi ya hzo😀😀😀😀Millionaires wa dar huaga wanapangisha kwenye appartments..
Yani kwel dollar millionaire anaishi kw appartment
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhehehe imeingia vyema💉💉💉💉
Hehehehe ufanabishe upanga na upuuzi😀😀😀
Nioatieni picha yakeAmekosa content tangu alivyo jisahau akapost picha yake humu 😂😂😂
Tufanye mpango uyu kijana tumchangie aweze nunua simu nzuri iliaweze post picha zenye graphic nzuri......
hayaa Kunyaland "cock data"? 😀 😀 😀 😀 ☝
wewe unahara yani huoni hiyo ni industrial area na upande wa kulia baada ya flyover ni construction site mbele ya TAZARA station kipindi cha ujenzi wa flyover! yaani unafananisha Bakhresa group of companies the largest in EA na ushuzi wa Kibera?Kama millionaire wa Dar huishi hapa basi kibera kuna millionaire wengi sanaView attachment 1384586
Sent using Jamii Forums mobile app
aonyeshe kwa uzuri sio? 😀 😀 ☝👇👇👇😀😀😀😀😀maisha ya kinguruwe
View attachment 1384603View attachment 1384605View attachment 1384606View attachment 1384607