Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,157
- 29,775
Tumia akili kidogo Nani kaongelea ukubwa wa uwanja mm nimesema design mbaya sijaongelea ukubwa wala gharama za uwanja ukikosea design tu ni sawa sawa na kuchezea Pesa unaweza kujenga nyumba ya mil400 mwenzako akajenga ya milioni 80 tu ila watu wakaiona iyo ya mil80 ni nzuri Mara 5 ya ile ya mil400 huo uwanja ni mbaya hata terminal 2 ya dar ni nzuri kuliko huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakaje kwani kaka, Design ya kiwanja cha Msalato iko poa tu,na imepita kwny mikono ya wakubwa wote,shida watu wa wengi walitegemea Dodoma kutakuwa na vitu vikubwa vikubwa tu, kuna kitu kinaitwa economic viability....kwa sasa na miaka kadhaa ijayo Dodoma inahitaji Terminal Building ya size hiyo
Uko sawa Geza tatizo watu wali expect Dodoma itakuwa na mavitu makubwa makubwa bila kufikiri maswala ya economic viability....Hiyo Terminal iko poa na ndio inayohitajika kwa sasa na miaka kadhaa ijayo,kikubwa ni kuhakikisha iwe na facilities za hali ya juu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app