Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar Mkorea, Mwanza Mchina huyu Magufuli anapenda sifaa!

ERm9dfLUYAAw_Mj

ERm9dfOUwAEbK6V

ERm9dfNUUAEUWNi

Nagoja kuona hili atapewa nani!

EEpPtTVW4AE4iBw

EEpPvyrWkAAG2wP

Maana huku Wami bridge Mchina
EClwulQWwAAM_2D

BYDzK4Z.jpg
 
Ngoma iko hapa ikiwa hio ni 42 the second one is below 35 and the rest are below 30 sindano hii hapa ukweli uko hapa🤣🤣🤣🤣👇👇👇💉💉💉💉
Teargass njooo
Screenshot_20200227-101007_Chrome.jpg
 
Hata GDP tumewazidi, SGR, Lamu port vs bagamoyo, riadha, football, rugby, miji, miundo mbinu na njaa Yani zote kote tumewazidi.
Nimeona GDP ya ke $105B kwa mwaka huu
Lakini kwa ground ata $50B ni nyingi sana

Miradi ya kimbuzimbuzi tu ndio imejaa na rushwa, Mtandelea kua na GDP kubwa lakini maendeleo mtayasikia kwa wachache wanaochota pesa za walalahoi bila kufanywa lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar Mkorea, Mwanza Mchina huyu Magufuli anapenda sifaa!

ERm9dfLUYAAw_Mj

ERm9dfOUwAEbK6V

ERm9dfNUUAEUWNi

Nagoja kuona hili atapewa nani!

EEpPtTVW4AE4iBw

EEpPvyrWkAAG2wP

Maana huku Wami bridge Mchina
EClwulQWwAAM_2D

BYDzK4Z.jpg
Suala la madaraja wanajua fika kua hawawezi...na hatutaki excuses kabisa !!

Ukitaka kuongea nao lugha moja tuanze kuzungumza suala la kukimbia riadha na wizi hapo Ndio mahali wanatutoa jasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona GDP ya ke $105B kwa mwaka huu
Lakini kwa ground ata $50B ni nyingi sana

Miradi ya kimbuzimbuzi tu ndio imejaa na rushwa, Mtandelea kua na GDP kubwa lakini maendeleo mtayasikia kwa wachache wanaochota pesa za walalahoi bila kufanywa lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 GDP iko kwenye makaratasi
 
Sikatai ila nataka unionyeshe picha kama hii kutoka Nairobi kama sio slum.
View attachment 1369898
Nionyeshe tu mtaa wowote Nairobi yenye nyumba kama hizo kama sio slum
Unapenda kujihami sana..sasa unataka niposti nini!????..wakati 80% ya nairobi ni slum,10% ni miti na vichaka,5% roads na 5% ndo hizo hostel na nyumba za European population..
Unataka niposti hostel zenu zipambane na hapo magomeni ambapo actually huishi watu wenye kipato duni...hey be reasonable!
 
Hiyo 80% ndio nataka upost na utaje jina ya mtaa. Mbona unashindwa kufanya kitu rahisi kama hiyo?
 
Imf wanasema gdp wanasema ni 109.13 billion ..angalia
Nimeona GDP ya ke $105B kwa mwaka huu
Lakini kwa ground ata $50B ni nyingi sana

Miradi ya kimbuzimbuzi tu ndio imejaa na rushwa, Mtandelea kua na GDP kubwa lakini maendeleo mtayasikia kwa wachache wanaochota pesa za walalahoi bila kufanywa lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200227-142604.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom