eddy25r
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 926
- 841
Wakati huo huo ina pave the way to global warmingHiyo chamber moshi inabeba goods and people .and thats all we need .Easy trasportation of goods and services.
Sent using Jamii Forums mobile app


Yes, he drives me crazy...with his stupidity of course. I just wonder how one can survive with such levels of stupidityIchoboy drives you crazy...👆👆👆
Kwahyo watakua wanawangoja?Morroco wana gdp per capita ya 3000( 2020) ,we are at 2270 . 2024 tuko bumper to bumper nao .
Sent using Jamii Forums mobile app



Hehehe na hii kelele yote inapigwa hapa!



Iwe disel ,iwe steam,iwe electric .porporse of a rail network is transportation si beauty.Australia still use their steam trains and they dont care
Wakati huo huo ina pave the way to global warming![]()
Ukweli mmeanza kuuogopa lini?Kwa hivyo wewe mtanzania unajua masuala ya Kenya kutuliko sisi wazawa?
KupurukukaI know his comprehension level is below average. Sometimes it's good to just keep mum and observe things badala ya kupurukuka



Kwani hiyo per capita income mnatushinda ama hapo pia mnasoma number yetu Kama kawaida?Kitu kinachomake sense zaidi ni Per capita income...
Mfano mzuri ni kati ya SOUTH AFRICA Na NIGERIA
NIGERIA VS S.A. kwanza tu ukiangalia maendeleo interms of infrastructures na mambo mengine yani Nigeria ni chenga tupu lakini ubao unasoma ndio vinara Africa kwa GDP. ....
Kwani hujui hata Morocco tu hamna uwezo wa kuwafikia hata miaka 30 ijayo? Walishasogea sana hao Nigeria yenyewe hawajafikia Morocco
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali. Wewe unaishi Mwananyamala Dar. Iweje leo unajua maswala ya Kenya kushinda mkenya?
Nilikua namjibu ndugu yako kua katika uchumi kua na GDP kubwa tu haitoshi! !Kwani hiyo per capita income mnatushinda ama hapo pia mnasoma number yetu Kama kawaida?
Kwahyo watakua wanawangoja?
Watu almanusura waandae world cup basi tu figisu kibao...that means wameshasogea mahali hamfiki leo wala kesho. ..
Wanawapiga kila idara wala usijaribu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Slum TV Inapatikana wapi hapa Nairobi? Na Kenya slum youth development ni mtaa gani huo? What about slum bank? Hiyo nayo Inapatikana wapi hapa Nairobi?
Sikatai hoja yako. Swali ni: Hiyo kiashiria kizuri mnatushinda?Nilikua namjibu ndugu yako kua katika uchumi kua na GDP kubwa tu haitoshi! !
Kiashiria kizuri ni Per capita income
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona ss GDP ilivyokuwa haina maana, kwa macho yako ya chang'aa ukiangalia je mnaikaribia Morocco ata kdg..Yeah the same way wametungoja tukiclose the gap btw them..2020 wapo 124bill tupo 109.13 (gap 15b) 2024 watakuwa 161.2 tutakuwa 158( gap 3b)View attachment 1370442View attachment 1370443View attachment 1370444View attachment 1370445
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuambia kwamba that's not the correct way to count floors
Umeona ss GDP ilivyokuwa haina maana, kwa macho yako ya chang'aa ukiangalia je mnaikaribia Morocco ata kdg..
Inajulikana kwa lipi? Kwamba it houses dream houses ama? 😂 😂
Mnejengewa choo na huko hapa yapping about big projects.Usiwasikilize sn wazungu hao, eti projected GDP ya Tz by 2024 is only $92bln apo apo inafanya mambo makubwa ambayo nchi yenye GDP 105 kwa ss haiwez fny mpk mkopo....smh