Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Slum TV Inapatikana wapi hapa Nairobi? Na Kenya slum youth development ni mtaa gani huo? What about slum bank? Hiyo nayo Inapatikana wapi hapa Nairobi?
Usiniulize mm muulize mzungu mwenye technology👇👇🤣🤣🤣💉💉💉
Screenshot_20200131-232935_Earth.jpg
 
Is it not Kariobangi slum? 😂 😂 😂 😂
Narudia tena: usilazimishe tufanane. Wewe endelea kuishi ndani ya dream house. Huo mfumo wa dream house hatuna huku Nairobi nje ya slums
Kwa akili yako ndogo hiyo ndo kariobange yote??!!..

Hakuna mkenya anaweza jenga nyumba,na huo mfumo wa dream house hamna hapo kenya kuna mfumo wa slum
 
That's just the tip of an iceberg 😂 😂 😂 Sisiemu ilivyowapumbaza is laughable
Lakini ndio inawapa tumbo joto airline imefufuliwa miaka 3 ina 11 brand new aircraft wakat loss making airline iko in service 35 yrs ina ndege 3 zaimezeeka🤣🤣🤣🤣🤣 alafu bado munamktafuta mchawi
 
That's just the tip of an iceberg 😂 😂 😂 Sisiemu ilivyowapumbaza is laughable
Mbona hushangai namna jubilee inavyowapumbaza,
Siku mkipata rais mwenye uchungu na Kenya... Hayo madudu atakayo yakuta 😂😂😂
 
Lakini ndio inawapa tumbo joto airline imefufuliwa miaka 3 ina 11 brand new aircraft wakat loss making airline iko in service 35 yrs ina ndege 3 zaimezeeka🤣🤣🤣🤣🤣 alafu bado munamktafuta mchawi
Hawa wajinga natamani sana siku wapate rais mwenye uchungu na Kenya kama JPM halafu tuone 😂😂😂
 
Kwa akili yako ndogo hiyo ndo kariobange yote??!!..
I clearly said "part of Kariobangi". Mbona Unajifanya hujui kusoma? And how do you expect the whole of Kariobangi to be captured in one picture? And here is also a section of kawangware slum 😂 😂 😂
images(46).jpg
 
Back
Top Bottom