tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Do you know by 2024 umeme tunawauzia?mirija yote ya wizi tumeshaikata na haitashangaza tukiwa na kinu kimoja cha nuclear...by 2024 nadhani kenya mtakua mkinunua processed foods kutoka Tz mahindi kama mmeshindwa kulima mjiandae kisawasawa...Kenya and tanzania projected gdp 2024 View attachment 1370326View attachment 1370327
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamuwezi kua salama maana kama abiria wengi wa ndege huja Nairobi iyo neema haitakuwepo tena...Kumbuka lengo letu ni kufikia per capital ya $3000 by 2025
Mnaweza kifikia $158b lakini hatutakua apo kwenye below $100b believe me
Sent using Jamii Forums mobile app




