Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Morroco wana gdp per capita ya 3000( 2020) ,we are at 2270 . 2024 tuko bumper to bumper nao .
Kitu kinachomake sense zaidi ni Per capita income...
Mfano mzuri ni kati ya SOUTH AFRICA Na NIGERIA

NIGERIA VS S.A. kwanza tu ukiangalia maendeleo interms of infrastructures na mambo mengine yani Nigeria ni chenga tupu lakini ubao unasoma ndio vinara Africa kwa GDP. ....

Kwani hujui hata Morocco tu hamna uwezo wa kuwafikia hata miaka 30 ijayo? Walishasogea sana hao Nigeria yenyewe hawajafikia Morocco

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Such houses and confused planning are only found in Nairobi slums. Outside slum areas huwezi kutana na nyumba kama hizo hata huende hadi wapi. So to me they are just slums ila kwako najua ni dream houses 😂 😂 😂
Nyumba hzo zinaubora mkubwa sana kuliko zile zenye mabati ndio maana mzungu huwezi kuskia anataka slum dar kwasababu anajua vzr sana
 
Hiyo chamber moshi inabeba goods and people .and thats all we need .Easy trasportation of goods and services.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dumbest ass ever..kwa hiyo inatosha tu ikiwa inabeba mizigo na abilia hata pesa iliyotumika ikiwa juu tofauti na bidhaa uliyopewa!!!🤣🤣😂😂 But remember, you've been talking about the numbers!!!!..
 
Thats the porpuse of a rail .All i care about is the amount of business between nairobi and mombasa
Dumbest ass ever..kwa hiyo inatosha tu ikiwa inabeba mizigo na abilia hata pesa iliyotumika ikiwa juu tofauti na bidhaa uliyopewa!!! But remember, you've been talking about the numbers!!!!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anaongea kwa sababu hakuna anayemiliki English..au English ni ya nyanya ako??
I know his comprehension level is below average. Sometimes it's good to just keep mum and observe things badala ya kupurukuka
 
We are currently at 2270 ..soo by 2021 to 2023 tutkuwa around 2500 ..if growth does not slow down ,by 2030 tutakuwa around 4000 to 5000 usd .Thats the goal of vision 2030 .To become an upper middle income nation

Sent using Jamii Forums mobile app
Upper middle income wakati hamkopesheki tena?mtalipa madeni au mtajenga nchi mmechagua nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom